Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Weka picha mkuu ,maneno matupu hayatoshi
Folder zote za hili game hazina setup exe kuniwezesha install hili game kwenye pc yangu!
20191004_203409.jpeg
 
Pakua hili...la codex naona limetolewa
Mkuu kcamp hilo la CODEX ndio gumu bora lile la mwanzo
ambalo tumeshalipakua
TATIZO linalotukumba ni Mods ya Brazil hiyo Zip
ikiipeleka Document kwenye Mod ya Euro Truck Simulator unapokuja kumuweka Player kwenye Profile linagoma na kutoa hiyo sign
yaani PC inazima kabisa baada ya kuandika Steam has stopped
1570271150465.png

naona wote tunataka kwenda Brazil
 
View attachment 1224219
naona wote tunataka kwenda Brazil
Aisee tuko mapacha .Mimi nae ni hivyo hivyo k camp njoo umalize tatizo
 
Hey ukwaju labda tujalibu euro truck v1.35.1.17s huenda likawa vizuli zaidi
wote tunaplay hiyo version ya 1.35 na inakubali sasa tunachoka kuplay Bara Europa, tumeenda Puno Peru maajali mengi tu milimani huko
sasa tunatamani BRAZIL kinachokwamsha baada ya kuiweka (Extract) Map of Brazil pale kuchagua Playing Module unaitoa Europe linakuja neno nortract and mbd hapo PC inagoma ndio maana tunamuita kcamp au mwingine aturushie Mod ingine ya Brazil tukacheze samba
1570276638735.png
 
View attachment 1224291
Sasa ukwaju 2nafanyaje?
 
Back
Top Bottom