Jinsi ya kuinstall mods kwenye Euro trucks simulator 2

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
4,935
Points
2,000

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
4,935 2,000
Wapenda Rough road sasa


Hiyo map noma...ntaishusha leo usku...nmeona gameplay yake..yani dongo dongo kweli
 

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
10,275
Points
2,000

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
10,275 2,000
Weka mod ya fast level piga trip zako 3 tu unatka level 25 hapo utakua usha unlock ile mod ya Engines ,utaenda kununua chuma yako mpya kisha unaenda garage unafunga sasa engine yako utakua zipo unlocked...ukifka level za juu pia engene za juu nazo zinakua unlocked una upgrade zako
samahani Mkuu hiyo Mod ta fast level ipo post namba ngapi maana ya injini na giabox tayari nimeiweka
 

Forum statistics

Threads 1,357,972
Members 519,129
Posts 33,156,767
Top