Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

euro truck kwangu huendeshi kwa raha ina stuck ukiwa una endesha sijui tatizo ni pc au
 
EURO TRUCK imeniharibia betri yangu ya pc..
Kwa uelewa wangu, unapocheza game kwenye pc huwa inahitaji nguvu nyingi kutoka kwenye supply na hvyo betri kuishiwa chaji chini ya uwezo wake, ukitumia kwa mara nyingi chini ya hapo na unasababisha betri kupungua uwezo wa kutunza chaji na hivyo kuharibika.
Mm hutumia pc ktk game ikiwa changed! Umeme ukikata tu game huwa inatabia ya ku-shake au kustuck kwa hayo hunipelekea ku log off pc.
 
nimeuwa betri kama 4 ila sasa tatizo niko addicted na games
 
Mimi hili gemu nikilicheza nikifika level ya tatu huwa naambiwa niactivate game why??? naomba mnisaidie katika hili wapenzi wa gemu jili
 
pole sana hapo ina taka key za game njoO PM ila ujiiandae na mzinga wa vocha kama buku mbili hivi nikutumie key au game lote full version
 
euro truck kwangu huendeshi kwa raha ina stuck ukiwa una endesha sijui tatizo ni pc au
Hapo ni either una graphics ndogo au ulizonazo zmekua outdated. .pia angalia graphic setting uskute zipo kweny high wakat ghapic zako ni ndogo.utatakiwa kujarbu medium au low kabisa
 
0997c81f84922f5baa64be6788168f3c.jpg
 
Back
Top Bottom