Jinsi ya kuinstall driver Canon IR1022F:

Allen key

Member
Jan 2, 2019
56
34
Ndgu wana jf:
Kama kichwa cha habari inavyoeleza apo juu naombeni msaada wa jinsi ya kuunganisha desktop yangu na photocopy machine aina hiyo apo juu, kwani nimepakua driver setup yake lakini nilipojaribu kuinstall kwenye desktop ili kuunganisha kati ya photo machine na desktop kupitia hatua 1 mpaka ya mwisho, ikifika mwisho inatuma ujumbe kama huu hapa USB NOT RECOGNIZED, ok nikabadilisha USB tena ujumbe ni huohuo nimebadilisha USB mara kibao lakini hakuna kitu.
Naombeni msaada wanajf najua humu kuna wataalam wazuri sana, kwan mimi nakosea wapi?
Ikifika hapo ndio ujumbe unatokea

images-3.jpeg
images-5.jpeg
images-4.jpeg
 
Ndgu wana jf:
Kama kichwa cha habari inavyoeleza apo juu naombeni msaada wa jinsi ya kuunganisha desktop yangu na photocopy machine aina iyo apo juu, kwani nimepakua driver setup yake lakini nilipojaribu kuinstall kwenye desktop ili kuunganisha kati ya photo machine na desktop kupitia hatua 1 mpaka ya mwisho, ikifika mwisho inatuma ujumbe kama huu apa USB NOT RECOGNIZED, ok nikabadilisha USB tena ujumbe ni huohuo nmebadilisha USB mara kibao lakin akuna kitu.
Naombeni msaada wanajf najua humu kuna wataalam wazuri sana, kwan mimi nakosea wapi?
Ikifika hapo ndio ujumbe unatokeaView attachment 1239555View attachment 1239560View attachment 1239561
Hiyo CANON ni mpya au ni used?

Tuanzie hapo kwanza mkuu.
 
Back
Top Bottom