Jinsi Ya Kuingia Katika Akili Ya Mwanamke

PabbyMontana

PabbyMontana

Member
Joined
Jun 27, 2014
Messages
98
Likes
78
Points
25
PabbyMontana

PabbyMontana

Member
Joined Jun 27, 2014
98 78 25
Je uko tayari kufahamu jinsi ya kuingia katika akili ya mwanamke na kufanya mapinduzi ya njia ya kawaida unayotumia kuapproach mwanamke? Kama jawabu lako ni ndio, basi zama nami kusoma hizi mbinu ambazo zimethibitishwa kufanya kazi.

1. Anza approach ya mbali

Kabla ya kumuapproach mwanamke, hakikisha ya kuwa unamsoma kwa umbali mambo anayofanya kwanza. Halafu ukiona kama umepata kile unachoweza kutumia kutoka kwake unaweza kumuaproach. Ukiwa unaongea nayeye mwambie kuwa una uwezo wa kusoma nyota yake. Wanawake wengi watakubaliana na hili ili kuona ucheshi wako. Halafu ukirudilia na vitu ambavyo ulimsoma awali, utakuwa umemfunga. Mwanzo kama umejaribu kumtabiria vitu ambavyo viko sawa kwake ama vinahusiana na yeye, una nafasi kuu ya kumfanya kukutaka kukufahamu zaidi. Pia ni vizuri kufahamu miondoko ya wanawake na mapema ili kuelewa kama anakubaliana na utabiri wako kwake. [soma; Jinsi ya kuapproach demu usiyemjua]

Pia unaweza kuwambia unaweza kusoma nyota yake kupitia kwa maganja yake. Hii itakupa nafasi ya rahisi kuweza kupata kumgusa bila kukushuku ajenda yako nzima iliyo akilini mwako. Mbinu hii itamfanya yeye kuvutiwa na wewe kwa urahisi.

2. Leta shangwe

Wanawake wanapenda wanaume ambao hawayachukulii maisha serious vile, so hakikisha kuwa unajua jinsi ya kuchat na wanawake. Unaweza kutumia mbinu ya kutumia kuwa mcheshi na kutoa mizaha ukiwa kando yake. Kufanya hivi kutamfanya yeye kucheka na kutabasamu, jambo ambalo automatic litamfanya yeye kuvutiwa na wewe. Usitumie mbinu ya kumtesa sana na mizaha yako ama utaonekana kuwa na utoto mwingi ama anaweza kukasirishwa. Uzuri wa kutumia ucheshi ni kuwa kunamfanya mwanamke kujihisi bado ana ujana. [soma: Dalili za kuonyesha kama mwanamke anakutaka kimapenzi]

3. Ichokore akili yake

Hii ni mbinu ya sanaa ya kutongoza ambayo itamfanya mwanamke yeyote kuathirika kihisia na wewe. Itamfanya akutamani na kuifanya akili kukufikiria wewe tu.

Njia moja kama hii ni kumfanya mwanamke kuingiwa na furaha dakika moja na kukasirika dakika ya pili. Wanawake inaonekana mara nyingi hupenda vioja katika maisha yao, kama vile katika vipindi vya tamthilia ama soap opera. Hoja ya vioja ni nzuri pia kwa kuwa inatoa ile dhana ya kubandikwa jina kuwa unaboa.

Kama unaweza kuyafanya maisha yako kuwa na vioja vya mara kwa mara wanawake watakupenda automatically bila wao kujifahamu. Ukishafanikiwa kuteka hisia zao, inakuwa rahisi kwako kuingia katika akili yao. Unafaa kuonywa ya kuwa kutumia mbinu hii sana inaweza kuwafanya baadhi ya wanawake kuchunguza maisha yako wakitaka kuwa karibu yako kila wakati.

Pia fahamu ya kuwa usimchangaye akili kihisia mwanamke yeyote kwa kutumia mbinu hii kwani mwishowe inaweza kukujeukia.
 
jakitoo

jakitoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2013
Messages
11,222
Likes
54,225
Points
280
jakitoo

jakitoo

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2013
11,222 54,225 280
Kumbeee
 
samsun

samsun

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Messages
7,432
Likes
5,082
Points
280
samsun

samsun

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2014
7,432 5,082 280
Watu hali ngumu kitaa, wewe unaleta stori za kuwini moyo wa mwanamke. Halafu wanawake wenyewe ndio hawa waliotumbiliwa,wamekosa mikopo,mabenki yanawadai,sidhani kama kuna wanachowaza zaidi ya kupata pesa.
 
yajutu

yajutu

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Messages
870
Likes
974
Points
180
Age
29
yajutu

yajutu

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2016
870 974 180
Tanzania ya viwanda
 
Senior Boss

Senior Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Messages
3,319
Likes
2,125
Points
280
Senior Boss

Senior Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2011
3,319 2,125 280
We endelea na Ramli zako. Wacha niendelee kutumia hela zangu kwa outings mbili tatu na Toyota Crown yangu Metallic Brown mwisho wa siku tuleteane hesabu ya vibuti ulivyo vipanga inbox.

Bob heb tafta hela. U dig ??
 
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Messages
89,944
Likes
440,280
Points
280
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2014
89,944 440,280 280
Tanzania ya viwanda
Nenda jukwaa la uchumi mkuu. Huku naona umeingia ndiko siko. Au unafikiri waanzilishi wa hii forum walikuwa wajinga kuweka mgawanyo wa mada kulingana na mawanda na maudhui yake?
 
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Messages
89,944
Likes
440,280
Points
280
SHIMBA YA BUYENZE

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2014
89,944 440,280 280
Hii hapa chini ndiyo njia rahisi kuliko zote za kuingilia katika akili ya mwanamke. Nyingine hizi mbwembwe tu!
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
5,430
Likes
5,011
Points
280
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
5,430 5,011 280
Pesa tu ndo njia rais hizo zingine mbwe mbwe tu.
 
N

ngurumaemadungu

Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
17
Likes
5
Points
5
N

ngurumaemadungu

Member
Joined Nov 22, 2016
17 5 5
Je uko tayari kufahamu jinsi ya kuingia katika akili ya mwanamke na kufanya mapinduzi ya njia ya kawaida unayotumia kuapproach mwanamke? Kama jawabu lako ni ndio, basi zama nami kusoma hizi mbinu ambazo zimethibitishwa kufanya kazi.

1. Anza approach ya mbali

Kabla ya kumuapproach mwanamke, hakikisha ya kuwa unamsoma kwa umbali mambo anayofanya kwanza. Halafu ukiona kama umepata kile unachoweza kutumia kutoka kwake unaweza kumuaproach. Ukiwa unaongea nayeye mwambie kuwa una uwezo wa kusoma nyota yake. Wanawake wengi watakubaliana na hili ili kuona ucheshi wako. Halafu ukirudilia na vitu ambavyo ulimsoma awali, utakuwa umemfunga. Mwanzo kama umejaribu kumtabiria vitu ambavyo viko sawa kwake ama vinahusiana na yeye, una nafasi kuu ya kumfanya kukutaka kukufahamu zaidi. Pia ni vizuri kufahamu miondoko ya wanawake na mapema ili kuelewa kama anakubaliana na utabiri wako kwake. [soma; Jinsi ya kuapproach demu usiyemjua]

Pia unaweza kuwambia unaweza kusoma nyota yake kupitia kwa maganja yake. Hii itakupa nafasi ya rahisi kuweza kupata kumgusa bila kukushuku ajenda yako nzima iliyo akilini mwako. Mbinu hii itamfanya yeye kuvutiwa na wewe kwa urahisi.

2. Leta shangwe

Wanawake wanapenda wanaume ambao hawayachukulii maisha serious vile, so hakikisha kuwa unajua jinsi ya kuchat na wanawake. Unaweza kutumia mbinu ya kutumia kuwa mcheshi na kutoa mizaha ukiwa kando yake. Kufanya hivi kutamfanya yeye kucheka na kutabasamu, jambo ambalo automatic litamfanya yeye kuvutiwa na wewe. Usitumie mbinu ya kumtesa sana na mizaha yako ama utaonekana kuwa na utoto mwingi ama anaweza kukasirishwa. Uzuri wa kutumia ucheshi ni kuwa kunamfanya mwanamke kujihisi bado ana ujana. [soma: Dalili za kuonyesha kama mwanamke anakutaka kimapenzi]

3. Ichokore akili yake

Hii ni mbinu ya sanaa ya kutongoza ambayo itamfanya mwanamke yeyote kuathirika kihisia na wewe. Itamfanya akutamani na kuifanya akili kukufikiria wewe tu.

Njia moja kama hii ni kumfanya mwanamke kuingiwa na furaha dakika moja na kukasirika dakika ya pili. Wanawake inaonekana mara nyingi hupenda vioja katika maisha yao, kama vile katika vipindi vya tamthilia ama soap opera. Hoja ya vioja ni nzuri pia kwa kuwa inatoa ile dhana ya kubandikwa jina kuwa unaboa.

Kama unaweza kuyafanya maisha yako kuwa na vioja vya mara kwa mara wanawake watakupenda automatically bila wao kujifahamu. Ukishafanikiwa kuteka hisia zao, inakuwa rahisi kwako kuingia katika akili yao. Unafaa kuonywa ya kuwa kutumia mbinu hii sana inaweza kuwafanya baadhi ya wanawake kuchunguza maisha yako wakitaka kuwa karibu yako kila wakati.

Pia fahamu ya kuwa usimchangaye akili kihisia mwanamke yeyote kwa kutumia mbinu hii kwani mwishowe inaweza kukujeukia.[/QUO
utakaa kwenye akili ya mwanamke kama una pesa tu,dadekiii.....hizo isidingo series peleka huko
 
B

bestmale

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Messages
2,432
Likes
1,322
Points
280
B

bestmale

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2015
2,432 1,322 280
Kama auna hela atakuona kilaaaazaaa mbululaaazi
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,334
Likes
40,094
Points
280
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,334 40,094 280
Hatujaribiwi....
 
Forum statistics

Threads 1,272,335
Members 489,924
Posts 30,448,060