Jinsi ya kuifungua flash.

Mussa waukweli.

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
534
316
Hi wana jamvi nina flash nimeinunua lakini nikitaka kuiwekea chochote inakataa inaniambia "this flash is protected"
Kama utakuwa na ujuzi juu ya hili tatizo nisaidie.
 
Solution ya kwanza Nikuirudisha ulikonunua, Wakigoma Rudi tena hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom