Jinsi Ya Kuifanya sim card, moja itumie mitandao miwili,> mwenye Idea tafadhali

Not applicable, kila sim card in namba maalum isiyofanana na yeyote ile duniani.
 
Zamani kidogo mzee wangu alikua na chip iliyounganishwa bt sikujua jinsi ilivounganishwa..ila hyo kitu ipo..
 
Hiyo kitu ipo ila shida inakuja mtu anapokupigia kwenye lain ambayo haipo kwanye simu kwa wakati huo. Kukupata atakupata ila salio litakatwa upande wako. Yaani kwa kifupi inagharama sana nafuu uka nunua simu kuliko hiyo huduma utakuwa unashangaa salio lako linaisha bila sababu.
 
Zamani kidogo mzee wangu alikua na chip iliyounganishwa bt sikujua jinsi ilivounganishwa..ila hyo kitu ipo..

hii sio kua na sim card moja itumie mitandao miwili bali ni kuwa na sim card mbili kuunganishwa kwenye tundu moja la line kwa kutumia cover maaulum. ni useless
 
We jiunge vifurushi vya bei ndogo......gharama za kimtandao zimeshuka sana
 
Unamaanisha Sim card moja iwe inapokea vocha ya mitandao to faut ?
 
wewe divert line moja kwenda nyingine ila line itakayokuwa nje lazima iwe na salio maana itakuwa kama unajipigia mwenyewe endapo mtu akikupigia kwenye hiyo line iliyopo nje
 
Back
Top Bottom