Jinsi ya kuhamisha mkopo kutoka kampuni kwenda benki

James07392

Member
Mar 8, 2019
20
6
Habari wana jamii forum!!! Samaha mimi nina mkopo katika kampuni la Faidika nataka kuhamishia NMB.... na nimekwenda FAIDIKA wanipe balance wananizungusha tu . Naomba msaada nifanye nini kwa wale wenye uzoefu tafadhali!!!!!
 
Wanakuzungusha Kwasababu wanaitaka hiyo faida

labda Jaribu kumtumia Mwanasheria awatwange NOTICE kuwa Mteja anataka alipe Deni lote watoa outstanding balance
 
Ulishaingia choo cha kike. Soma mkataba vizuri kuna kipengele kinasema lazima utoe notification 3 months before hujaclear deni lako.
Yaani mara mia uende crdb, nmb na benki zingine sio hao uchwara sijui nufaisha, platinum, utalia. Hao ni kundi la wezi.
 
Siku nyingine usirudie kukopa kwenye hizo taasisi za fedha. Nenda zako benki, ili zife njaa na kufilisika. Zimezidi sana kuwaumiza wateja wake kwa riba kandamizi. Wakati wanapokupa mkopo, hawakupi kabisa elimu ya huo mkopo! Unagundua ukishaanza kukatwa.
 
Ulishaingia choo cha kike. Soma mkataba vizuri kuna kipengele kinasema lazima utoe notification 3 months before hujaclear deni lako.
Yaani mara mia uende crdb, nmb na benki zingine sio hao uchwara sijui nufaisha, platinum, utalia. Hao ni kundi la wezi.
I see,,,, wahuni sana haooo
 
Habari wana jamii forum!!! Samaha mimi nina mkopo katika kampuni la Faidika nataka kuhamishia NMB.... na nimekwenda FAIDIKA wanipe balance wananizungusha tu . Naomba msaada nifanye nini kwa wale wenye uzoefu tafadhali!!!!!

Kuhamisha huwezi..apo solution clear off debt..yani kulilipa lote na hiyo itakukupunguzia kiasi cha riba..ingekua bank kwa bank,kama kuna maslahi bank moja inaweza ikaninunua mkopo wa bank nyingine..tofauti na hapo nenda nmb kafanye process za kupata mkopo endapo una dhamana nyengine then wakikupa unaenda kuclear off huko faidika..kama umekwama kabisa uza dhamana kuu mmalizane kabla hawaingia ndani kbsa.
 
thanks kwa ushauri
 
Back
Top Bottom