Jinsi ya kugundua kabila la muandishi wa kitabu cha riwaya

Zionist

JF-Expert Member
Dec 5, 2017
1,830
2,881
Habari za asubuhi..
Ukiona mwandishi amemuweka muhusika mkuu kwenye riwaya yake na ametiririka kwa aina hii...
" nikiwa ndani ya gari yangu toleo jipya kabisa aina ya Nissan navara toleo la 2019, nikielekea bank ya CRDB kutoa fedha ya safari yangu ya London....., ujue mtunzi ni Muhaya

Ukikutana na dizaini hii,
" nikiwa na daftari langu nililoorodhesha madeni , niligundua hela yangu ya nje ni nyingi ambayo ingenisaidia kwenye mipango yangu, nilizidi kupandisha hasira...., Ujue mtunzi ni mchaga..

Ukikutana na dizaini hii,
"Nikiwa sijui cha kufanya na mfukoni sina kitu, nilitafakari ni nani wa kumfuta ili anisadie fedha....Ujue mtunzi ni Mgogo

Ukikutana na dizaini hii,
" nikiwa mezani nikiangalia menu niliyoagiza njaa ilizidi Mara mbili.., kushoto palikua na biriani, pembeni mchuzi wa sato shata shata, kwa chini saladi kulia glass ya juice ya bhakresa....Ujue mtunzi ni mzaramo

Nafikiri kwa uchache huo nimewapa mwanga

Asubuhi njema..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
ikianza hivi,

"Jana nlikutana na demu mkali, ana tako la hatari, nikampiga bia na nyama choma, baada ya hapo full kumgegeda" .... ujue mwandishi ni Mngoni huyu
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Habari za asubuhi..
Ukiona mwandishi amemuweka muhusika mkuu kwenye riwaya yake na ametiririka kwa aina hii...
" nikiwa ndani ya gari yangu toleo jipya kabisa aina ya Nissan navara toleo la 2019, nikielekea bank ya CRDB kutoa fedha ya safari yangu ya London....., ujue mtunzi ni Muhaya

Ukikutana na dizaini hii,
" nikiwa na daftari langu nililoorodhesha madeni , niligundua hela yangu ya nje ni nyingi ambayo ingenisaidia kwenye mipango yangu, nilizidi kupandisha hasira...., Ujue mtunzi ni mchaga..

Ukikutana na dizaini hii,
"Nikiwa sijui cha kufanya na mfukoni sina kitu, nilitafakari ni nani wa kumfuta ili anisadie fedha....Ujue mtunzi ni Mgogo

Ukikutana na dizaini hii,
" nikiwa mezani nikiangalia menu niliyoagiza njaa ilizidi Mara mbili.., kushoto palikua na biriani, pembeni mchuzi wa sato shata shata, kwa chini saladi kulia glass ya juice ya bhakresa....Ujue mtunzi ni mzaramo

Nafikiri kwa uchache huo nimewapa mwanga

Asubuhi njema..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka kwa sauti yaani,duh......!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom