Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
oh masaki za siku tele kaka, mie huwa navutiwa na wanaume warefu, wasio na kitambi, wasio na madevu, weusi au maji ya kunde, wasio kunywa mipombe ovyo, anayejua kutake trouble ya kunisikiliza na kunielewa kabla haja jump kwenye conclusion etc. etc, hope umeget picture of what i really want
Hapo kwenye bold nisipokuwa makini sitaweza kudumisha mila na wewe! Hapo kwenye red, potelea mbali acha nisidumishe mila na wewe kuliko kuachana na hii kitu inaitwa serengeti na msaidizi wake valeur!