Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,356
Muhanga leo umeamkia mitaa ya kwetu kweli?eh jamani kila mtu apendacho ndo dawa yake, mie nikiona mwanamume ambaye akivaa suruali inajikunyata hapa katikati ya miguu huwa naishiwa nguvu, hata aje na brifukesi ya manoti wala simtamani maana najihoji nitatoka nae vipi njiani!!! huwa nahisi hata vipumbu vyake vimesinyaa kwa kubanwa na suruali khaaa maumbile mengine mtihani wallah!