Jinsi ya kufungua simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kufungua simu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by jjeremiah, Oct 30, 2010.

 1. j

  jjeremiah Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Naomba nielekezwe jinsi ya kufungua simu yangu iliyo fungwa itumike na mtandao mmoja tu.
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Dwa ni ku'iflash tu.
  Peleka kwa fundi simu mwambie aiflash then itatumia mitandao yoote.
  ila hiyo is not applicable for Blackberry.
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Nenda kwenye settings,,,,click kwenye factory configuration/setting.
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  ku flash simu ni tofauti na ku unlock . Hata facatory setting hawezi kutoa lock iliyowekwa kwenye simu itumie specific simcard.

  Sijui knowlege yako kwenye mambo ya IT lakini unachotakiwa kufanya ni kutafuta mtaalam wa ili iwe unclocked. Kuna njia nyingi za kunclok urahisi wake utegema na mamb matatu
  aina ya simu( NOKIA, SASUMG, LG , etc) - IMEI No
  Model yake( Nokia 5200, LG kC910. etc) na
  kampuni iliyokuwa locked( Tigo, Zain, Vodaphone, vodacom, Safaricom. etc)

  software nyingi za kunclok zinacalculate unlocking code kutimia input variables za IMEI NO ya simu na Jina la kampuni simu iliyokuwa locked in . Kila kampuni ya simu duniani ina identityy number yake. Kwa hiyo hizo software ziantumia hizo varibles mbili ku unlock.

  Kama una brand zinazojuliakana sana kama Nokia some model unaweza kupata code za kunlokc online kirahisi kwa gharama ndogo au hata free.

  Kuna njia mbili kuu za ku unlock

  • Soft code unlock. hii unatumia code unaingiza mwenyewe . mara nyingi simu zina maximum ya trail tatu kama sikosei. ukiingiza sofy code mara tatu ukakosea basi solution inayokuwa imebaki ni hard code unlock
  • Hard code unlock: simu inaunganishwa na cable na kifaa maalum ambacho kinafanya kazi kama vile ya kupdate firware ya simu ikubali simcar yeyote.
  Kujifunza zaidi google neno kama unlocking mobile phones. Otherwise taja IMEI Number Model , brand na Provider aliyelock simu upewe ushauri. May be naweza kupata hela ya serengeti mbili bariidiiiiiii
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  simu yako inahitaji kutolewa lock tu na sio kuflashiwa na kama ni ya voda au zain or zantel ni rahisi tu ni pm nikupe maelekezo mkuu ni tatizo dogo
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hongera kwa darasa zuri unatupunguzia wataamu kazzi ya kufundisha big up
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  factory setting ita riseti program kama ilivyotoka kiwandani na sio kutoa speacilcode ya provider mkuu
   
 8. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  sio kuiflash mkuu inaitaji itolewe lock tu kuflash ni tofauti kidogo sema watu wamezoea neno kuflash;

  mpaka blackberry zinatotewa lock na unatumia mtandao wowote ule mkuu tena kwa blackberry ni raisi kwa kukalukulate code kupitia imei no ya simu yako kisha unapata unlock code unaingiza mkuu simple tu
   
 9. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu, unaweza ku-unlock blackberry iliyo blocked kwenye NETWORK?
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mzee weka numbe ryako ya ofis hapo chini ikiwezekan watu watakutafuta moja kwa moja. Nadhani nitakuwa napata commission pia kwa wateja nitakaowasukuma kwako. Maana ajira milioni moja alizosema JK ndo hizi.

  hahahhaah
   
 11. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
 12. B

  Brandon JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Drphone,nina cmu yangu ya zamani sana ila naipenda sana iliingia maji je inaweza pona? ni n70 music edition.inaonyesha mwanga ila haidisplay maneno
   
 13. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
 14. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  inawezekana mkuu ni pm
   
Loading...