Jinsi ya kufulash cm

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
567
55
Ndugu zangu leo nimependa tujuzane maujanja jinsi ya kufulash cm hususani aina ya nokia zile zenye uwezo mkubwa ambazo ni original sio mchina.japo zingine zinakubal ila zingine zinagoma.kwa wale watakao bahatika ni *#7270# kama ita goma bonyeza *#7370#.kwa wenye mautundu zaid tujuzane
 
Ukishabofya hizo code nini kinafuatia?
Naomba maelekezo hatua kwa hatua ili niweze kuelimika zaidi na hili somo zuri kaka.
Natanguliza shukurani.
 
kama ni nokia ukibofya hizo codes unaiflash kabisa hasa hizo *#7370# na simu yako itazima na kuwaka baada ya muda kidogo...unashauriwa kuwa na chaji ya kutosha kwenye cmu yako
 
mkuu hii ni kuflash au kureset to default settings?

Kuna wakati simu inayohitajika ku flash huwa imezimika kabisa,sasa ukibofya hizo codes zake simu hiyo itawaka? Anachozungumzia huyu ndugu ni ku restore default settings,siyo ku flash.
 
ki hivyo sawa maana kuflash nikutoa kila kitu ila kurestore default settingd ndio anachozungumzia huyu..
 
na mimi ndo nlichotaka kujua hiki kama ni ku flash kweli au ku restore settings tu...thanks anyway!
 
kama ni nokia ukibofya hizo codes unaiflash kabisa hasa hizo *#7370# na simu yako itazima na kuwaka baada ya muda kidogo...unashauriwa kuwa na chaji ya kutosha kwenye cmu yako

hyo n kwa nokia symbians baas ila kwa s40 ts useless
 
hiyo mipango ya mtu kupoteza simu! maana mtoa mada hajui anachofiria anakijua!
 
Back
Top Bottom