Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,819
- 2,473
Unaweza ukawa wewe ni mmoja kati
ya watu waliofuta meseji zao za
muhimu kwa bahati mbaya. Ndio hii
inatokea kwa wengi, kikubwa watu
wanachofanyaga ni kujilaumu
wenyewe. Lakini vipi kama
kungekuwa na njia nyingine ya kufufa
meseji hizo?
Unaweza ukawa umefuta meseji ambayo
ina taarifa za muhimu kama vile malipo na
kumbukumbu namba. Kaa mkao wa kula
TeknoKona inakuletea maujanja ya
kuzifufua meseji hizo.
Jinsi Ya Kufufua Kwa Vifaa Vya Android!
Najua watumiaji wa Android ni wengi sana.
Ukiachana na hilo njia hii itakufanya uwezo
kufufua meseji zako bila shaka kwa kufata
njia hizi
1. Shusha software ya ufufuaji Coolmuster
sms+contacts katika kompyuta yako
2. Sasa inakubidi uiunganishe simu yako na
kompyuta kwa kutumia USB ili kuanza
kufufua meseji zako.
3. Sasa anza ku ‘scan’ kifaa chako cha
Android kwa kutumia programu hii
4. Ukishamaliza kufanya hayo hapo
utakuwa na uwezo wa kuweza kuona
meseji zako zote ambazo zimefutwa mbali
na hayo unaweza ukazihifadhi katika simu
yako ya Android.
5. Ukishachagua meseji ambayo unataka
kuifufua chagua ‘Recover’ ili kuziweka
katika simu yako.
Mpaka hapo hautahofia tena kuhusu meseji
zako zilizofutika au ambazo utazifuta kwa
bahati mbaya
Coolmuster sms+contacts
Jinsi Ya Kufufua Kwa Vifaa Vya iOS!
Hakuna tofauti kubwa sana ya kufufa
meseji zako kwenye vifaa vya iOS (kama
iPhone) ukilinganisha na njia ile ya
Android. iPhone inatoa huduma nyingi tuu
ya njia ambazo unaweza ukazitumia
kufufua meseji zako. Hapa ntakupa njia
rahisi ambazo unaweza ukatumia
Fufua Meseji Katika Matoleo Ya iPhone 4s
Na Kuendelea
1. Shusha software ya kufufua meseji zako
( Coolmuster iPhone Data Recovery ) na
ipakue katika kompyuta yako
2. Ukishamaliza kuipakua katika kompyuta
yako. Unganisha iPhone yako katika
kompyuta kisha anzisha programu hiyo
3. Ukishafunguka ‘click’ eneo la ‘Recover
From iOS Device’ baada ya hapo utapata
ujumbe unaokuambia kwamba kifaa chako
cha iOs kimeunganishwa
4. Anza ku ‘scan’ ili kuendelea. Baada ya
zoezi hili kuisha itaonyesha meseji zote
ambazo zilifutika. Weka tiki katika meseji
ambayo unataka kuifufua na kisha chagua
‘Recover’
5. Kama unataka kuhifadhi meseji hizo
katika kifaa chako chagua ‘Recover To
Devicce’
Coolmuster iPhone Data Recovery
Mpaka hapo utakuwa huna wasi wasi
kabisa wa kupata meseji zako ambazo
zimefutika. Kwa watumiaji wa iPhone 4
kurudi nyuma mpaka iPhone 2G
tutawatafutia ufumbuzi maana wanaweza
wakatumia njia hii alafu kwa bahati mbaya
ikagoma
Niandikie sehemu ya comment hapo
chini je ni maujanja gani ambayo
unataka kututafutie ufumbuzi. Kwa
mambo mapya na maujanja
yanayohusu teknolojia tembelea
mtandao wako wa TeknoKona kila
siku. Kumbuka TeknoKona Diama
Tupo Nawe Katika Teknolojia!
Source inaonekana hapo kuwa ni Teknokona
ya watu waliofuta meseji zao za
muhimu kwa bahati mbaya. Ndio hii
inatokea kwa wengi, kikubwa watu
wanachofanyaga ni kujilaumu
wenyewe. Lakini vipi kama
kungekuwa na njia nyingine ya kufufa
meseji hizo?
Unaweza ukawa umefuta meseji ambayo
ina taarifa za muhimu kama vile malipo na
kumbukumbu namba. Kaa mkao wa kula
TeknoKona inakuletea maujanja ya
kuzifufua meseji hizo.
Jinsi Ya Kufufua Kwa Vifaa Vya Android!
Najua watumiaji wa Android ni wengi sana.
Ukiachana na hilo njia hii itakufanya uwezo
kufufua meseji zako bila shaka kwa kufata
njia hizi
1. Shusha software ya ufufuaji Coolmuster
sms+contacts katika kompyuta yako
2. Sasa inakubidi uiunganishe simu yako na
kompyuta kwa kutumia USB ili kuanza
kufufua meseji zako.
3. Sasa anza ku ‘scan’ kifaa chako cha
Android kwa kutumia programu hii
4. Ukishamaliza kufanya hayo hapo
utakuwa na uwezo wa kuweza kuona
meseji zako zote ambazo zimefutwa mbali
na hayo unaweza ukazihifadhi katika simu
yako ya Android.
5. Ukishachagua meseji ambayo unataka
kuifufua chagua ‘Recover’ ili kuziweka
katika simu yako.
Mpaka hapo hautahofia tena kuhusu meseji
zako zilizofutika au ambazo utazifuta kwa
bahati mbaya
Coolmuster sms+contacts
Jinsi Ya Kufufua Kwa Vifaa Vya iOS!
Hakuna tofauti kubwa sana ya kufufa
meseji zako kwenye vifaa vya iOS (kama
iPhone) ukilinganisha na njia ile ya
Android. iPhone inatoa huduma nyingi tuu
ya njia ambazo unaweza ukazitumia
kufufua meseji zako. Hapa ntakupa njia
rahisi ambazo unaweza ukatumia
Fufua Meseji Katika Matoleo Ya iPhone 4s
Na Kuendelea
1. Shusha software ya kufufua meseji zako
( Coolmuster iPhone Data Recovery ) na
ipakue katika kompyuta yako
2. Ukishamaliza kuipakua katika kompyuta
yako. Unganisha iPhone yako katika
kompyuta kisha anzisha programu hiyo
3. Ukishafunguka ‘click’ eneo la ‘Recover
From iOS Device’ baada ya hapo utapata
ujumbe unaokuambia kwamba kifaa chako
cha iOs kimeunganishwa
4. Anza ku ‘scan’ ili kuendelea. Baada ya
zoezi hili kuisha itaonyesha meseji zote
ambazo zilifutika. Weka tiki katika meseji
ambayo unataka kuifufua na kisha chagua
‘Recover’
5. Kama unataka kuhifadhi meseji hizo
katika kifaa chako chagua ‘Recover To
Devicce’
Coolmuster iPhone Data Recovery
Mpaka hapo utakuwa huna wasi wasi
kabisa wa kupata meseji zako ambazo
zimefutika. Kwa watumiaji wa iPhone 4
kurudi nyuma mpaka iPhone 2G
tutawatafutia ufumbuzi maana wanaweza
wakatumia njia hii alafu kwa bahati mbaya
ikagoma
Niandikie sehemu ya comment hapo
chini je ni maujanja gani ambayo
unataka kututafutie ufumbuzi. Kwa
mambo mapya na maujanja
yanayohusu teknolojia tembelea
mtandao wako wa TeknoKona kila
siku. Kumbuka TeknoKona Diama
Tupo Nawe Katika Teknolojia!
Source inaonekana hapo kuwa ni Teknokona