Mkali Tricks
JF-Expert Member
- Aug 18, 2017
- 488
- 310
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
Bismillaah, AlhamduliLLaah.
Na'am leo tutapatapo kujifunza JINSI YA KUFICHA NA KUFICHUA CONTACTs BILA KUTUMIA APPLICATION.
JINSI YA KUFICHA
1. Ingia kwenye CONTACTs zako.
2. Bofya MISTARI MITATU iliyopo nje ya kioo.
3. Bofya CONTACTs TO DISPLAY
4. Bofya CUSTOMIZE
5. Chagua Akaunti unayotaka kuficha Contacts zilizomo ndani yake (Mfano Airtel, tigo, za kwenye gmail, za telegram n.k) Kisha Ondoa Alama ya tiki, Kisha bofya OK
NB: Kama unataka kuficha Contacts zote, Utatoa tiki kote.
JINSI YA KUZIFICHUA
1. Fuata hatua ya 1-4 hapo juu
2. Chagua akaunti uliyoficha contacts zilizomo ndani yake, kisha weka tiki.
NB:- Kama ulificha Contacts zote, weka tiki kote.
USHAURI.
Kama contacts unazotaka kuzificha zipo katika akaunti mbili tofauti. zisave kwenye gmail, kisha fuata hatua tajwa hapo juu.
MAELEZO KWA VIDEO