JINSI YA KUFICHA NA KUFICHUA CHATS ZA WhatsApp BILA KUTUMIA APPLICATION

Mkali Tricks

JF-Expert Member
Aug 18, 2017
488
310
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH

BismiLLaah, AlhamduliLLaah
In shaa Allaah, Leo Tutajuzana JINSI YA KUFICHA NA KUFICHUA CHATS ZA WhatsApp BILA KUTUMIA APPLICATION

Mahitaji
1. GB WhatsApp
2. MBs Kadhaa
3. WhatsApp Chat(s)

Hatua Za
(a) Kuficha
1. LONG PRESS Chat(s) Unazotaka Kuzificha.

2. Bofya DOTI 3 (Juu Kulia) > HIDE

3. Weka Na Confirm PATTERN (Ili Mtu Asiweze Kuingia Kwenye Chats Zako) > Chagua Na Uandike Jibu La Suali (Hii Itakusaidia Kuona ChatsZako Endapo Utakuwa Umesahau Pattern)

4. DONE.

NB:
Ili Kuziona, Bofya Neno "WhatsApp" (Juu Kushoto) > Weka Pattern > Hizo Hapo.



(b) Kuzifichua
1. Bofya Neno WhatsApp > Weka Pattern > Long Press(es) Chat(s) > Mark Chat as Visible.

2. DONE



NB:- UNAPOZIFICHA, MESSAGE(S) ZITAKUWA ZINAINGIA KAMA KAWAIDA. NA UTAWEZA KUZIJIBU PIA HALI YA KUWA UMEZIFICHA.

GUSA HUMU



LINK YA KU-DOWNLOAD GB WhatsApp IPO KWENYE DESCRIPTION YA HIYO VIDEO (YouTube). Nakhofia Kuiweka Hapa Kwani Nimetoka Kwenye BAN Juzi Kati Tu, Kwa Kosa Kama Hilo.

Ahsanteni Kwa Kunisikiliza.
 
Simu ni kitu private sasa unaficha kumfichia nani..? mimi simu yangu kuna password strong kwa zile application muhimu tu.

Haya mambo utadhani upo TISS.
Anway , ngoja waje wazee wa ku hide.
 
Labda unaficha kwa dummies ila kwa Pros haujaficha, watu washagundua kuihack whatsapp end-to-end encription key
IMG_20171205_003910_199.jpg
 
Kwenye iphone kuna kitu kinaitwa archive chat. Unazitia humo sms kibao sema ukitumiwa znakuja tena kwenye ile list yko ya kawaida.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom