Jinsi ya kufanya mpenzi wako asijue kama una mchepuko mwingine

Sema hii ya kusinzia na simu ndio iliniponza nikapiga usingizi na simu mkononi akanivizia.hii ya second space ngumu sana kuijua ukigusa button ya off unashift kwa guest account huwezi stukia mpaka mtu akuambie
 
Hii ilikua inanigharimu sana, nikawa kabla sijalal naizima kabisa na mipasword juu. Akiiwasha tu inamtaka mipasword anaachana nayo.
 
Mimi mke wangu alikuwa na laini nyingi wakati mimi laini yangu ni moja tuu kwa zaidi ya miaka 15 nilijua maana yake nikapiga kimya kama vile sijui maana. Kuna laini hata sikuwa nazo na skuwa nampigia kwa laini hizo maana niljua zipo kwa kazi maalumu.
Baadae ilikuwaje sasa? Uliendelea naye hivyo hvyo?
 
Mbinu ya 5 naomba jina la app hyo
Screenshot_20180101-173824.png
Screenshot_20180101-185956.png
 
Back
Top Bottom