Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Simu yangu sio smartphone natumia nokia E5 inatumia os ya symbian
symbian pia ni smartphone,

tumia njia ya ss, url

m.youtube...............

futa m na . ongeza ss iwe

ssyoutube.............

then click ok itaload halafu utapelekwa site ya kudownload hio video.

kama operamini itakataa tumia opera mobile au ucweb
 
Asante kwa maelekezo mkuu.

Siku za nyuma nilikuwa napakua kwa mfumo huo uliolekeza kwa kutumia operamini, nashangaa siku hizi inagoma.

Nashukuru ngoja nijaribu opera mobile.

Lakini sijaelewa kwenye ucbrowser natumia njia zipi?
 
njia hio hio, kuna
-opera mini
-uc mini

na
-opera mobile
-uc browser

hizo mini zinasumbua kwenye javascript sehemu ukiambiwa wait sekunde kadhaa inaweza ikanata hapo hapo isiendelee ila ucbrowser na opera mobile zinakubali,
 
Nimeweke opera mobile classic inagoma hata kufungua youtube inasema "network problem"
 
KUDOWNLOAD VIDEO YOUTUBE FATA STEPS HIZI ni verry simple

1. Ingia www.youtube.com

2.Tafta video unayoitaka then iplay

3.Wakat inaplay nenda juu kwenye URL pale futa Hébergement Internet, Cloud, et Serveurs dédiés - OVH. then weka ss

Mfanao: http://www.youtube.com/obbymovies/szrtuy isomekessyoutube.com/obbymovies/szrtuy then enter

4.Iache iload itafunguka then angalia upande wako wa kulia utakuta fomarts mbalimbali mp4. 3gp na nyingine nyiingi click unayotaka!!

5 Itaanza kudownload THAT Z ALL.. kama hujaelewa uliza
Salute kwako mkuu
 
Tafuta app inayoitwa TUBEMATE siyo kwa google play haipatikani just search on google utaipata
 
Wakuu mimi shida yangu naomba mtu anayefahamu programme inayoweza kudownload youtube video kwenye kompiuta yangu anisaidie. Mwanzo nilikuwa natumia ummy video downloader lakini imegoma kupakua video kama mnayoona kitufe cha dowload kimefifia:
upload_2017-2-3_23-0-41.png
 
Back
Top Bottom