Jinsi ya kudownload vitabu au article bure.

Marco Exavery

Member
Aug 14, 2016
31
5
Habari wadau, naomba msaada wa kudownload vitabu kwenye mtandao bure bila kulipia.
Mfano
Nataka kitabu hichi
Principles of soil chemistry. Fourth edition by kim H.Tan
Please naombeni msaada wetu.
Asante.
 
Habari wadau, naomba msaada wa kudownload vitabu kwenye mtandao bure bila kulipia.
Mfano
Nataka kitabu hichi
Principles of soil chemistry. Fourth edition by kim H.Tan
Please naombeni msaada wetu.
Asante.
Nenda Google andika jina la hicho kitabu kisha mbele andika PDF
Nimekisachi kipo
 
bhasi kuna vingine na hauwezi kabisa kukipata sehemu nyingine ambayo utadownload free,so kama umegoogle umekosa hamna option nyingne zaidi ya kukilipia.
 
Back
Top Bottom