Jinsi ya kudownload video YouTube many huawei

Chris41

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
629
500
Msaada guys. Natumia huawei y300 nataka kudownload videos on YouTube . Nashindwa. Nifanyaje?
 

eliasy

JF-Expert Member
Nov 9, 2012
455
195
Msaada guys. Natumia huawei y300 nataka kudownload videos on YouTube . Nashindwa. Nifanyaje?

Ingia ktk youtube, copy link ya wimbo unaoutaka. Baada ya hapo ingia katika website hii http://www.clipconverter.cc/mobile/ Ukishaingia pest hyo link uliyocopy ktk youtube. Baada ya hapo chagua kama unataka mp3 au mp4.
Ukishamaliza bofya start. Yenyewe itaanza ku concert. Ikimaliza itakuambia download.
 

foshizzle

JF-Expert Member
Dec 4, 2013
374
0
Mkuu nenda google play download grab it free. Utaweza kudownload mp3 au video ya wimbo wowote ulio you tube au sehemu nyingine yoyote free. Unaweza pia kuangalia hq.
 

diuretic

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
213
250
Ni hatua chache tu za kufanya

1:fungua YouTube

2: search video unayotaka

3:nenda kwenye url ya hiyo video:- yaani ile YouTube.............

4:then futa kila kitu upande wa kushoto kuanzia hiyo nukta nyuma ya youtube
Yaani iwe YOUTUBE.COM/watch........

5:nyuma ya neno youtube andika SS isomeke
ssyoutube.com/watch.....

Then press enter,itakupeleka kwenye formats mbali mbali za kudownload
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom