Jinsi Ya Kudesign Blog Inayolipa Se1

Dec 3, 2013
28
10
Hey guys its Expert Blogger here,

Wengi wamekua wakisumbuka kutafuta jinsi ya kujipatia kipato kwa kutumia blogs
Wengi kati ya hao wamekata tamaa na kuziacha blogs zao wakaamua kufanya mambo mengine
Mimi ni mmoja kati ya hao waliohangaika zaidi ya miaka mitano sasa nikijaribu kujikwamua kupitia blogs mpaka nilipoigundua siri ambayo nitakuwa nikishare na ninyi kuanzia leo
Bila kuwa na stratergies muhimu kamwe huwezi pata chochote kwenye internet zaidi ya kuishia kudanganywa na kuibiwa
Kuanzia leo ndugu zangu ntakuwa nawapa somo kwa wale wanaopenda kujikwamua kimaisha kupitia blogs.


Somo letu la kwanza litakua hivi...

[h=3]Blogging for Beginners: 17 Tips Before You Start Your Blog[/h]
Starting a blog is no longer enough.
There are millions of blogs out there, and most of them get nowhere because they don’t have a strategy in place.
In this post, you’ll not only learn blogging for beginners, but you’ll get 17 concrete steps you can take to dramatically increase your chances of success.
It doesn’t matter if you haven’t started a blog yet, or if you’re a veteran, because just one of these tips can make a big difference in your life and in your blogging.
With that said, let’s start with the first tip.
1. Passion
Don’t just start a blog because you want to make money. There are no shortcuts to success.
If you want to build a thriving blog that brings in revenue, you will have to work hard, and to stay motivated, you have to find something you’re passionate about.
Or at least something you’re interested in.
2. Purpose
When your purpose is weak, your chances of giving up somewhere along the way go up dramatically.
So ask yourself the following questions:

  • Why are you starting a blog?
  • What do you want to get out of doing this?
  • Why do you want to succeed?
Endelea Kusoma Hapa
Kwa maoni na ushauri plz comment below

 
Kabla hujaendelea tuambie blog yako ni ipi na na inaingiza shs ngapi kwa mwezi.

Pili ni vyema ungetoa tips zako halisi kulingana na mazingira ya kitanzania. Naona kapa tips hizo una copy na kupaste kutoka mahali. Kama ni hivyo bora ungeweka link tu hapa mambo ya kaisha.
 
kunakili mahala sio shida mkuu,nilipoanza sikua najua lolote lakina baada ya kupata sources nyingine nikaweza so sio mbaya kushare na wengine wasiojua...
hata alienielekeza alininakili mahala kisha akanipa na mimi,siamini kama wewe kila ujuacho ulizaliwa nacho au wewe ndio source yake mkuu,kama ww unajua hilo basi puuzia wanaotaka kujua watatilia maanani.
 
Ni bora ili ku-inspire kibongobongo utuwekee hata makadirio ya chini: unaingiza Tzs ngapi? vinginevyo tutaona kuwa unatuchota tu hapa tukuongezee hits kwenye blog yako!
 
kunakili mahala sio shida mkuu,nilipoanza sikua najua lolote lakina baada ya kupata sources nyingine nikaweza so sio mbaya kushare na wengine wasiojua...
hata alienielekeza alininakili mahala kisha akanipa na mimi,siamini kama wewe kila ujuacho ulizaliwa nacho au wewe ndio source yake mkuu,kama ww unajua hilo basi puuzia wanaotaka kujua watatilia maanani.

my point was. toa experience yako. changamoto. mafanikio na kila kitu wewe kama expert blogger
 
Nilihisi nitakuta kitu kipya humu ila yale yale... Mtoa mada Unaweza andika vyako ( uzoefu wako bila kunakili vilivyokwisha andikwa na wengine) walioandika sio watanzania wenzetu hivyo ukiandika wewe kama wewe ulipoanzia, mbinu, mafanikio yako yapoje na vitu kama hivyo nahisi utakuwa una nia njema na wenzako zaidi kuliko kutafuta viewers kwa mbinu hii ya kutuwekea link
 
Nimewaelewa wakuu frrom now nitakuwa natumia lugha yetu,lengo ni kufikisha ujumbe ili watu wajue changamoto na jinsi ya kuzitatua ili kufikia malengo yao..tuko pamoja!
 
Ninazo nyingi tu mkuu ila ambazo nimeanza kuziwekea nguvu sana ni The Urban Reporter na Blog Tips pamoja na website Eneo Lako

siku ambayo visitors wako minimum 5000 kwa jumla napata not less than 6 to 11 Euros,kwa sasa nafanya bidii nipate visitors zaidi ili niweze kumiximize my earnings...kikubwa kwenye blog ni visitors tu so kwa kuwa nimegundua hili napenda kushare na wengine hata ingawa earnings zangu sio kubwa kivile
 
Halafu hizi blogu mbona habari zinafananafanana tu huwaga mnakopiana au huwa mnataalifiana habari itakayoandikwa. Kuweni tofauti bwana aaaaaagh mnakera bwana.
 
Halafu hizi blogu mbona habari zinafananafanana tu huwaga mnakopiana au huwa mnataalifiana habari itakayoandikwa. Kuweni tofauti bwana aaaaaagh mnakera bwana.
unayosema ni kweli mkuu,mimi ni mwandishi wa blogs zaidi ya kumi na zote huwa nashare kwenye mitandao mbalimbali
Kuna comic blog
Habari za wanachuo
Udaku
Msaada jinsi ya kublog
Msaada juu ya computers na mambo mengineyo ya technology

Chakushangaza ni kwamba asilimia 98 ya visitors hutembelea zaidi blogs za udaku zaidi ya zile nyingine zoote.
Kikubwa mimi ninachotafuta ni pageviews ili niongeze mapato yangu kwahiyo if it takes me kupost udaku mtupu inanibid tu.Na ni vigumu kuwa na udaku wa kipekee,people will always copy and paste.
 
Watu ni ma'hopeless sana humu kwenye hii thread.. Kwani akikopi sehemu inakuwa sio habari ya msaada? Mnataka atumie akili yake kwani huu ni mtihani wa darasani? Hata wewe unaweza kukopi kitu na kupaste hapa mradi kiwe educative..
Kwani vitabu vya darasani mmevitunga, si ni kukopi yaliyoandikwa na kupaste kichwani..
If its worthless to u its wealth to us!!

Alaaaah!!
 
Back
Top Bottom