Jinsi YA KUCHAT NA RAFIKI YAKO KWENYE LAN using COMMAND

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
most of the organizations kuna Intranet badala ya internet which means there is no access ya other sites apart from the internal network (internet). but kwa kutumia njia hii una uwezo wa kuchat na rafiki yako in the same office kwa kutumia command. jinsi ya kufanya, fungua notepad then andika hizi codes:

echo off :A Cls echo MESSENGER set /p n=User: set /p m=Message: net send %n% %m% Pause Goto A

then baada ya hapo save kama messenger.bat na usisave kama txt, save kama all files. thn ukifungua itafunguka kama command prompt then ikifunguka utaona User, hapo ndo unaandika IP adress ya mtu unaetaka kuchat nae then inakua mpango mzima. NB: ni lazima wote wawili muwe na hii ki2.
 
Last edited by a moderator:
hapo kwenye echo naona imeji autowrite ila lazima uweke alama ya @
 
Maelezo yako ya utangulizi yana jichanganya. Siku hizi kuna LAN Messenger nyingi tu. Enzi zetu tulikua tunatumia command ya NETSEND
 
  • Thanks
Reactions: 1px
Mkuu Mzeewalolıondo Ninafikiri itakuwa njia hii hapa naoan ya kwako umekosea katka kufahamisha angalia chini:

kopi weka katika Note Pad maandishi haya kisha ndio uweke messenger.bat kisha u Save kwa All files.

echo off
:A
Cls
echo MESSENGER
set /p n=User:
set /p m=Message:
net send %n% %m%
Pause
Goto A

Save hili file la kwanza kwa kuandika hivi
messenger.bat kisha u Save kwa All files.

This will show you how to create a cmd messenger so you can send pop-up messages to other people.

And after you are finish you can now send msgs to your self. NOTE: must enable it on other pcs to make it send msgs to the other pc.

after watching this video goto "Step 2"
<em>
 
Last edited by a moderator:
:bolt:
Mkuu Mzeewalol&#305;ondo Ninafikiri itakuwa njia hii hapa naoan ya kwako umekosea katka kufahamisha angalia chini:

kopi weka katika Note Pad maandishi haya kisha ndio uweke messenger.bat kisha u Save kwa All files.

echo off
:A
Cls
echo MESSENGER
set /p n=User:
set /p m=Message:
net send %n% %m%
Pause
Goto A

Save hili file la kwanza kwa kuandika hivi
messenger.bat kisha u Save kwa All files.

This will show you how to create a cmd messenger so you can send pop-up messages to other people.

And after you are finish you can now send msgs to your self. NOTE: must enable it on other pcs to make it send msgs to the other pc.

after watching this video goto "Step 2"
<em>

Hii ni kwa ajili ya windows...na sisi wa linux inakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
mzee wa loliondo au ndo dawa zako mpya nini umeamua kutuwekea hata jf tunywe, oky usijali asante kwa hayo maelekezo tutafuatilia kwa makini sasa wewe na mathematics ni ndugu maana naona hiyo picha ya avatar yako inafanana na mathematics mwenyewe mzima au nyie ni matwins nini. jibu via pm kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Maelezo yako ya utangulizi yana jichanganya. Siku hizi kuna LAN Messenger nyingi tu. Enzi zetu tulikua tunatumia command ya NETSEND

Ndio kaanza chuo mwaka huu,msamehe kila kitu anaona kipya na deal...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom