Wanatumia Invoice yako. Thats means kodi nayo itapandaHabari za muda wakuu, Naomba kupata ufafanuzi ni jinsi gani TRA wanacalculate kodi endapo itatokea gharama za CIF uliyonunulia gari imekuwa kubwa kuliko ya kwenye calculator yao.
1.TRA calculator ni Estimation za gharama za ununuzi, mean wanaamini gari itakua imenunuliwa kwa hicho kiasi.Habari za muda wakuu, Naomba kupata ufafanuzi ni jinsi gani TRA wanacalculate kodi endapo itatokea gharama za CIF uliyonunulia gari imekuwa kubwa kuliko ya kwenye calculator yao.
Umeelezea vizuri sana. Sasa soma swali kwa umakini na umjibu kwa ufasaha1.TRA calculator ni Estimation za gharama za ununuzi, mean wanaamini gari itakua imenunuliwa kwa hicho kiasi.
2. Sheria ya kodi ya forodha, " Whichever is higher", kwahiyo kama CIF ya kwenye calulator itakua kubwa kuliko CIF ya invoice yako, TRA watacalculate kodi kwa kubase kwenye CIF ya calculator, and vice versa is TRUE.
Mkuu nishamjibuUmeelezea vizuri sana. Sasa soma swali kwa umakini na umjibu kwa ufasaha
Wanachukua bei ya CIF ya invoice. Ila kama bei ya invoice ni ndogo kuliko ile iliyopo kwenye database ya TRA then watachukua ile ya makadirio ya TRA.Habari za muda wakuu, Naomba kupata ufafanuzi ni jinsi gani TRA wanacalculate kodi endapo itatokea gharama za CIF uliyonunulia gari imekuwa kubwa kuliko ya kwenye calculator yao.
Wanashusha mkiongea wanakupunguzia kulingana na gari yenyewe. Mazungumzo yapoHAKUNA NAMNA YA KUWAOMBA MAKAMPUNI YA MAGARI KAMA SBT,BEFOWARD ,AUTOCOM KUSHUSHA INVOICE IENDANE NA YA KWENYE CALCULATOR YA TRA??