Jinsi ya kubypass Tecno W1

Al-shabaab

JF-Expert Member
Aug 24, 2013
1,791
617
Wakuu mwenyewe kujua jinsi ya kubypass Tecno W1 anisaidie maana nimereset inadai email niliyotumia mwanzo na me siikumbuki
 
Ingia YouTube usearch tatizo lako, kuna tutorials kibao tu za kukusaidia kubypass.....
 
nenda sehemu ambayo kuna wifi ,mfano kama uko karibu na ofisi za Tigo,Voda n.k,watakusaidia.
 
Miracle box inahusuka kwa haraka zaidi nenda kaiflash kwa kutumia simu yenyewe mzunguko wake ni mkubwa
 
Nenda kaflsha hiyo simu,mimi pia nilishawahi pata hiyo shida nikafuatisha hizo tutorial za YouTube lakini hazikunisaidia chochote..
 
Kuflash simu Bado tu itadai Google Mail Kikubwa Fanya Hivi!

Tafuta wifi....kwenye Kuingiza Password keybord itapop up...ikisha pop up tafuta option ya kwenda settings za simu!

Option ya settings ikishajitokeza nenda kwenye wifi then connect!
Ukishaconnect nenda kwenye apps afu uende kwenye youtube!
Ukishafika kwenye youtube nenda kwenye Data usage halfu click
Hapo itakuletea option ya kuingia mtandaon chagua chrome!
Ukishachagua chrome usi log in kwenye chrome just click No, Thanks
Then search Apk inaitwa The Test DPC 3.0.6...then download
Ikishamaliza kudownload pop up itakuja kwamba download done!....click then install the app
Aftel installation pop up itakuja kwamba open!
Open halafu nenda kwenye option ya ku encrypt hapo uwe ushaclick option ya ku wa new user
Hakikisha simu yako ina zaidi ya 80% chaji....after encryption utakuwa usha bypass google verification!
 
Option ya kwenda kwenye setting ya simu kwenye keyboard unaipataje mkuu samahani lakini???
 
Back
Top Bottom