Jinsi ya kuboresha afya ya mbegu za kiume (sperms)

Hivi kuzama chumvini kunaathiri ubora wa mbegu za kiume kisha mwanamke asishike mimba?
 
Mungu fundi wewe.

Ndani ya sekunde sperm 1,500 huanza kutengenezwa.
Kwa siku ni kama milioni.

Sasa kama kila siku kiwanda kinafanya kazi, unafikiri kila siku product ngapi zinakua tayari kwa kazi?? Mwanaume mashine ndo ilizaliwa hapa ,,😁
Piga pumbu usiangalie sura 😆😆😂
 
Mungu fundi wewe.

Ndani ya sekunde sperm 1,500 huanza kutengenezwa.
Kwa siku ni kama milioni.

Sasa kama kila siku kiwanda kinafanya kazi, unafikiri kila siku product ngapi zinakua tayari kwa kazi?? Mwanaume mashine ndo ilizaliwa hapa ,,😁
Piga pumbu usiangalie sura 😆😆😂
😂😂😂
 
Wakati huohuo mimi.........
87654.png
 
Utengenezaji wa mbegu za kiume katika kiwanda cha kutengenezea mbegu katika mwili wa mwanaume (mapumbu) huchukua muda mrefu kuliko wengi wanavyodhani.

Mfumo hutengeneza sperms kila siku, lakini mzunguko kamilifu wa sperm zilizokomaa kabisa unachukua kati ya siku 64 mpaka 74.

Wakati wa mlolongo wa uundwaji au utengenezaji wa sperms, kati ya mbegu zipatazo Millioni kadhaa hutengenezwa kwa siku, na 1,500 kwa kila sekunde.

Mwisho wa utekelezaji mbegu, Mwanaume anaweza kutengeneza mpaka kiwango cha sperms Bilion 8 tayari kwa matumizi. Na kwa kila ejaculation cell za mbegu ya kiume milioni 20 - 300 huachiwa kutoka pamoja na kilainishi maalumu (semen) kwa ajili ya kuzilinda.

JINSI YA KUBORESHA AFYA YA MBEGU ZA KIUME (SPERMS).
  • Fanya mazoezi ya mwili mara kwa mara.
  • Pata vitamin C & D ya kutosha kwa kila mlo.
  • Pata (Lycopene = matikiti, nyanya n.k { antioxidant products}) ya kutosha kila mara.
  • Acha/ punguza uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe
  • Punguza au acha kabisa upigaji puri/ masturbation.
  • Vaa nguo zisizobana sehemu za siri.

N.B: Ubora na wingi wa sperms unategemea na mfumo halisi wa maisha na ulaji wako.

Kula vizuri, kuwa mchangamfu na zuia tabia zinazoweza athiri afya yako kwa kadri uwezavyo.
HIV UNAJUA SPERM NGAPI ZINAZALISHWA KWA SIKU NA HUCHUKUA NGAPI KUTUNGA MIMBA
 
Kwa hiyo mkuu unaweza kumnyonya mwanamke na mate yasiathiri mwanamke kushika ujauzito

Niliwahi kusikia;km mnatafuta mtoto mambo ya kupakapaka mate siyo poa
Hata mimi niliambiwa na daktari bingwa kabisa wa masuala ya uzazi kwamba mate yanaharibu sperms, si vizuri kuyatumia wakati wa kuitafuta mimba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom