Jinsi ya kuanzisha redio za FM za kijamii! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kuanzisha redio za FM za kijamii!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Insabhunsa Gusa, Oct 22, 2012.

 1. I

  Insabhunsa Gusa Senior Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Wadau,

  Nataka kuanzisha kituo cha fm cha kijamii, kwa malengo ya kuelimisha jamii za vijjini kule mkoani Rukwa, ukanda wa ziwa Tanganyika katika masuala ya afya na Elimu kwa shule za msingi na sekondari, bila kusahau kuwaburudisha wana jamii kule.

  Naomba msaada wa jinsi ya kuanzisha hiyo fm redio. Utaratibu mzima na masharti yake ni yepi?? Nianzie wapi ndugu zangu?? Nawaombeni msaada wenu kiushauri na ki utaalamu... Unaweza kunishauri kwa email: jones992k@hotmail.com au kwa sms kwenye 0763 947266. Asanteni sana!!
   
 2. W

  Wimana JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 2,453
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 145
  Kaulize TCRA upate taarifa kamili na sahihi kwenye Ofisi zao, HQ au Zonal Offices au tembelea tovuti yao.
   
 3. I

  Insabhunsa Gusa Senior Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Asante sana mkuu, nitafanya hivyo.
   
 4. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Wapi radio producer?
   
 5. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
 6. k

  kisilo Senior Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakutakia mafanikio mema mkuu.
   
 7. B

  Benard tabora Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  oyaa mkuu site nzuri kijiji cha ngorotwa kata ya kasanga
   
Loading...