Jinsi ya kuanzisha ofisi ya wakala wa bima mbalimbali

kiri12

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
635
554
Habari wanajukwaa,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kufahamishwa nihatua zipi natakiwa nifuate ili nifungue ofisi ya bima mabalimbali, za magari na pikipiki, pamoja na bajaji.

Ofisi tayari ninayo ninachohitaji utaratibu tu wa kufuata ili niweze namie kuwa wakala wa hizo bima.

Kwa anayefahamu au ambaye tayari ameshafungua ofisi kama hiyo naomba msaada wake anielekeze.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom