habari zenu lolz. Jamani naomba maushauri jinsi ya kuachana na mpenzi uliechoshwa na mambo yk ya Ajabu2.
Mbona easy hyo mwite mweleze ukwel then kata mawasiliano naye akiona umempa cold sholder mwenyewe atajistukia!! Ila ukaze kwelkwel kuonyesha uko real
sasa dada ukimwacha ukaenda kwa mwingine ukakuta ndio bomu bomu kabisa utakuja na mada gani tena???? Kaa nae mjaribu kusolve matatizo yenu mwambie a b c d sipendi if he realy lov u he wil understand but for case of breaking up mi sikushauri hata kidogo
huyu mtoa mada kama alikua kwenye akili yangu, kiukweli me nimechoka kumchezea kijana wa watu , bt yeye ni tofauti he is so innocent kumbwaga naona aibu na kuendelea kumchezea i fil guilt so na mimi mnishauri tu nitumie njia gani isiyo na madhara, nimvizie tukiwa out nimpe live, au nitume sms au nimpigie lakini nataka anielewe na asikasirike coz bado nautamani mchango wake kwenye maisha yangu, sio financially pls
sasa dada ukimwacha ukaenda kwa mwingine ukakuta ndio bomu bomu kabisa utakuja na mada gani tena???? Kaa nae mjaribu kusolve matatizo yenu mwambie a b c d sipendi if he realy lov u he wil understand but for case of breaking up mi sikushauri hata kidogo
mbona simple tu?
Mtoe lunch mle mshibe then mwambie kutokana na a,b,c,d sitoweza kuendelea na uhusiano huuu blah blah blah tutabakia kuwa friends ukipenda. Nakutakia maisha mema uende zako (usisahau kulipia bili ya msosi)
mpe makavu ya uso......