Mfamaji
JF-Expert Member
- Nov 6, 2007
- 6,631
- 1,925
Imebidi nije humu kuomba msaada. Ukweli niko addicted na vitu vitatu. Castle baridi , sigara na JF.
Hivyo viwili havipi shida sana. Kinachonipa shida ni fegi. Nataka kuacha lakini attempt zote zimeshindikana. Wakuu , wale waloweza kuacha naomba michango yenu. HOW CAN I STOP SMOKING?