Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

Mimi nilivuta kwa zaidi ya miaka 20 na niliacha nikiwa nimeshafikisha paketi.mbili kwa siku. Silu tatu za kwanza ndio ngumu sana lakini ukishazivuka the rest is plain sailing. Ukitaka kuishinda hiyo tabia vizuri siku unaacha nunua sigara zako na kiberiti kabisa. Jipongeze kwa ushindi kwa masaa matatu ya kwanza. Jipongeze kwa masaa matatu yanayofuata. Kisha jiambie kama umeweza kuacha kwa saa sita utaweza kwa saa sita zinazofuata. Ukishindwa kabisa kuacha kuwasha sigara toa sigara kwenye paketi weka mdomoni, toa kiberiti ukiwashe lakini usiwashe sigara. Ukiacha hiyo sigara mdomoni kwa dakika mbili bila kuiwasha una ushindi mkubwa. Siku ya kwanza uzalendo ukikushinda usikate tamaa. Jaribu tena kesho yake. Kila wakati jipongeze kwa idadi ya masas uliyoacha kuvuta. Mtu yeyote anayetaka kuacha kuvuta sigara ajaribu kufanya hivi. Utashinda uvutaji uliolitesa kwa miaka mingi
ZEE LA HEKIMA hii njia ni nzuri sana hongera kwa kufanikiwa kuacha. MIMI ni mvutaji mchovu. Pakiti moja miezi wa kadhaa na weekends tenashara. Hii njia ikiboreshwa inaweza saidia kuquit alcohol na ngono manake kuna walevi wa ngono pia nomale.

Tuendelee jinsi ya kuacha hizi tabia hatarishi kwa afya tabia mbofu mbofu
 
Mimi nimeacha sigara niliyovuta miaka 19 kwa siku moja tu,niliamua mkesha wa mwaka mpya iwe mwisho,nina miaka tisa bila sigara sasa,japo nakiri haikuwa rahisi ila nilidhamiria.
Kila baada ya chakula nilizoea kuvuta,nilikuwa nasikia kutapika bila sigara mwisho wa mlo,nilikomaa.
Nilikuwa naenda kilomita 7 kufuata sigarabmoja usiku,gharama ya mafuta hailingani na bei ya sigara,hata risk ilikuwa kubwa kwa usiku na mapafu yangu,nilikomaa.
 
Yule jamaa anaesema ana dawa ya kuacha sigara mwambien mm nimeamua toka Leo tarehe 21/01/2017 sivuti tena sigara mpka siku nitakayoondoka katka ulimwengu huu.

Nia ninayo, sigara hainiombi nikainunue Bali naifuataga mwenyewe, kuanzia Leo siifuati, siiwaz, wala siitaki tena..
Kwa maamuz haya na dhamira hii hela zangu nitawapa wanaoomba barabaran kila siku idadi ile ile ya sigara 40 kwa siku. Mungu nisimamie
Ngoja nivute kwanza halafu nije kuchangia uzi vizuri. It might be my last menthol puff
 
LEO NGOMA IMETEMBEA BILA FEGI KWA MWEZI MZIMA,,UGUMU NILIOKUTANA NAO MWANZO ULINIFANYA NIFIKIRIE MARA MBILIMBILI NIACHE AU NIENDELEE,,,SABABU NILIWEKA NADHIRI SIKUTAKA KUIVUNJA KWA TAMAA ZA MWILI,NIKAPIGA MOYO KONDE NA LEO NIPO HAPA MWEZI MMOJA UNAKATIKA BILA KUVUTA SIGARA,,, UKIQMUA INAWEZEKANA,BADO MIEZI KUMI NA MOJA NAFIKISHA MWAKA MMOJA NAJUMAPILI HII NANUNUA MAHITAJI YA KUWAPATIA WASIOJIWEZA KUTOKANA NA HELA ILE ILE NILIYOKUA NANUNULIA SIGARA,, HAKIKA SHETAN AMEZIDI KUDIDIMIA...
 
Mimi nimeacha sigara niliyovuta miaka 19 kwa siku moja tu,niliamua mkesha wa mwaka mpya iwe mwisho,nina miaka tisa bila sigara sasa,japo nakiri haikuwa rahisi ila nilidhamiria.
Kila baada ya chakula nilizoea kuvuta,nilikuwa nasikia kutapika bila sigara mwisho wa mlo,nilikomaa.
Nilikuwa naenda kilomita 7 kufuata sigarabmoja usiku,gharama ya mafuta hailingani na bei ya sigara,hata risk ilikuwa kubwa kwa usiku na mapafu yangu,nilikomaa.
Duh kilometa 7 kwa ajili ya sigara aisee kwel tulikua watumwa sana Ila nashukuru nimeanza kuisahau
 
Hivyo vitu ni vigumu sana kuacha tena bora hata kuacha pombe inaweza ikawa rahisi kuliko fegi,mtu kama huyo anahita ushauri wa kisaikojia,au mpaka apate madhara yake,au kuzuia access kitu ambacho ni kigumu
 
Unaamka tu asubuh. Unajiambia kwanzia leo naacha kuvuta sigara. Hakuna lisilowezekana .kama kuacha kupumua ni rahisi itakuwa kuacha kuvuta sigara?amua leo. Ulizaliwa unapumua na bado muda wwote unaweza amua kuacha kupumua.itakuwa sigara?
 
8a57daa928167c9ed64be61c4e485f95.jpg

Siku kama leo, mwaka jana Tarehe 01/04/2016 nilichukua mgumu japo wenye faida kubwa, kuachana na uvutaji sigara, kasumba iliyodumu miaka 29 mfululizo. Katika kuadhimisha mwaka mmoja tangu nilipoamua kuacha uvutaji wa sigara, ninatoa nakala za bure za kitabu changu cha kielektroniki kuhusu kuacha uvutaji wa sigara. Ni muhimu kutambua kuwa hakuna njia ya mkato ya kuacha uvutaji wa sigara. Kikubwa zaidi ni WILLPOWER. Hata hivyo, natarajia kitabu hiki kinaweza kuwahamasisha wavutaji sigara wanaotaka kuachana na kasumba hiyo lakini wanakosa hamasa. Pakua nakala yako HAPA MWONGOZO WA KITABIBU WA JINSI YA KUACHA UVUTAJI SIGARA NA USHAURI WA MVUTAJI MSTAAFU.pdf
 
Habari wataalamu wa afya, naomba msaada kwa anaefahamu dawa au njia za kufuata kuacha kuvuta sigara kwani nimevuta kwa muda mrefu na nishapambana sana kuacha nimeshindwa.
 
Kalipen hakuna dawa utakayopata kuacha sigara,,mwez wa kwanza tarehe 24 mm niliamua kuiambia sigara sikutak tena maishan mwangu,nilidhamiria kutoka moyon,nilijiapiza kwa mungu kwamba sitak kuipenda sna sigara,na kwel dhamira ya dhati niliyoionyesha imenisaidia mpk sasa nakaribia mwaka,

Cha muhimu dhamiria kutoka moyon,ichukie kiunafiki kwanza baadae utaichukia jumla,haikuombi kuinunua bali we ndo unaifuata,usipoenda haiwez kukujia so ni wewe na uthubutu wako na nia thabiti haswa ya kuamua kuacha. Hakuna njia mbadala wala dawa ya kuacha mkuu...nia ya kweli ndio shabaha muhimu
 
Chukua sigara 3 au 4.

Kila moja iwashe na uivute kama pafu mbili na uizime.

Kisha toa vile vipira vyake vya juu.

Chukua maziwa fresh ,weka kwenye grasi.

Tumbaku yote ipukutishie kwenye grasi ya maziwa na ukoroge.

Chukua chujio na uchuje ili kuondoa machicha ya tumbaku.

Itakua tayari juice na kunywa.

TAHADHARI:
NI BORA UFANYE HIVYO UKIWA NA AFYA BORA.

MAANA UTAKUFANYA UTAPIKE VYA KUTOSHA NA HUTATAN
MANI TENA KUSIKIA HALUFU YA SIGARA.
 
thanks, good advice.
 
thanks.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom