Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

Ningependa kuongeza kuwa, katika yale mapambano ya mwili na ubongo katika vita ya kuacha kuvuta sigara, unaweza kupitia hali ya msongo wa mawazo (depression), uwezo wa kufikiri kupungua au kupata shida wakati wa kufiri, akili kutokutulia pia insomnia. Faida zinazoenda sambamba na kuacha kuvuta sigara ni pamoja na kupungua uzito, katika tafit zilizofanywa na Wizara ya Afya ya Uingereza (NHS), zinaeleza kuwa uzito wa kilo 4/5 hupungua katika miezi 12 ya kuacha kuvuta sigara.
Mwili unapokosa nicotine pia humfanya mvutaji mzoefu kusikia kuzunguzungu, dalili za mafua na myalgia. Kama hali ni ngumu sana kuihilimili unaweza kumuona daktari ambae atakupa dawa za antidepressant tablets utakazotumia kwa muda kama bupropian.
 
Nashuhudia kuwa kuacha sigara ni kusema "sasa sigara bassssi"
Kisha unasimamia ulichisema!!!

Ni rahisi kusimamia ulichisema kuliko kukipinga.

Nalivuta sigereti kwa miaka zaidi ya kumi.
Niliacha kwa kusema sasa baaaasssi.

Ikawa jioni ikawa asubuhi siku ya pili.
 
Sigara unaacha ukiamua sio kitabu wala tiba itakayokufanya uache bla mwenyewe kuamua,,,
 
Yule jamaa anaesema ana dawa ya kuacha sigara mwambien mm nimeamua toka Leo tarehe 21/01/2017 sivuti tena sigara mpka siku nitakayoondoka katka ulimwengu huu.

Nia ninayo, sigara hainiombi nikainunue Bali naifuataga mwenyewe, kuanzia Leo siifuati, siiwaz, wala siitaki tena..
Kwa maamuz haya na dhamira hii hela zangu nitawapa wanaoomba barabaran kila siku idadi ile ile ya sigara 40 kwa siku. Mungu nisimamie
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom