Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

Mimi nilivuta kwa zaidi ya miaka 20 na niliacha nikiwa nimeshafikisha paketi.mbili kwa siku. Silu tatu za kwanza ndio ngumu sana lakini ukishazivuka the rest is plain sailing. Ukitaka kuishinda hiyo tabia vizuri siku unaacha nunua sigara zako na kiberiti kabisa. Jipongeze kwa ushindi kwa masaa matatu ya kwanza. Jipongeze kwa masaa matatu yanayofuata. Kisha jiambie kama umeweza kuacha kwa saa sita utaweza kwa saa sita zinazofuata. Ukishindwa kabisa kuacha kuwasha sigara toa sigara kwenye paketi weka mdomoni, toa kiberiti ukiwashe lakini usiwashe sigara. Ukiacha hiyo sigara mdomoni kwa dakika mbili bila kuiwasha una ushindi mkubwa. Siku ya kwanza uzalendo ukikushinda usikate tamaa. Jaribu tena kesho yake. Kila wakati jipongeze kwa idadi ya masas uliyoacha kuvuta. Mtu yeyote anayetaka kuacha kuvuta sigara ajaribu kufanya hivi. Utashinda uvutaji uliolitesa kwa miaka mingi
 
Mkuu.....
hongera kwa maamuzi mazuri ya kuacha kuvuta sigara.
Mungu akusimamie katika hilo jambo.

150c52e3718ccc3d8f7a70ece05cfd56.jpg

0eab1be2d4c145ea746f20b101101a30.jpg

Nakutakia maisha mema.
 
Mimi nilivuta kwa zaidi ya miaka 20 na niliacha nikiwa nimeshafikisha paketi.mbili kwa siku. Silu tatu za kwanza ndio ngumu sana lakini ukishazivuka the rest is plain sailing. Ukitaka kuishinda hiyo tabia vizuri siku unaacha nunua sigara zako na kiberiti kabisa. Jipongeze kwa ushindi kwa masaa matatu ya kwanza. Jipongeze kwa masaa matatu yanayofuata. Kisha jiambie kama umeweza kuacha kwa saa sita utaweza kwa saa sita zinazofuata. Ukishindwa kabisa kuacha kuwasha sigara toa sigara kwenye paketi weka mdomoni, toa kiberiti ukiwashe lakini usiwashe sigara. Ukiacha hiyo sigara mdomoni kwa dakika mbili bila kuiwasha una ushindi mkubwa. Siku ya kwanza uzalendo ukikushinda usikate tamaa. Jaribu tena kesho yake. Kila wakati jipongeze kwa idadi ya masas uliyoacha kuvuta. Mtu yeyote anayetaka kuacha kuvuta sigara ajaribu kufanya hivi. Utashinda uvutaji uliolitesa kwa miaka mingi
Nitajaribu kesho kaka..huwaga naacha nikifika shop au nikila tungii nasahau kama nimeacha

Na.bahat nzur fegi inashuka vizur sana kwa caster lager moto

Mkuu nafwata ushaur wako kesho najaribu
 
Hongera Kiongozi.

Ukidhamiria kitu inawezekana wala hakuna ugumu wowote.

Mimi tokea nilipojiambia Mitungi basi, na ni kweli mimi na Mitungi tofauti.

Na mpaka hivi sasa ninavyoongea ni Miaka Miwili na Miezi Saba imeshatimia bila mimi hata ile kuonja sijathubutu.

Na ndio basi tena, wala sitothubutu tena.

Na mimi sikuwa Mtu wa Mitungi kiviiile, ilikuwa nastuka kiaina kuchangamsha Damu
 
Mimi nilivuta kwa zaidi ya miaka 20 na niliacha nikiwa nimeshafikisha paketi.mbili kwa siku. Silu tatu za kwanza ndio ngumu sana lakini ukishazivuka the rest is plain sailing. Ukitaka kuishinda hiyo tabia vizuri siku unaacha nunua sigara zako na kiberiti kabisa. Jipongeze kwa ushindi kwa masaa matatu ya kwanza. Jipongeze kwa masaa matatu yanayofuata. Kisha jiambie kama umeweza kuacha kwa saa sita utaweza kwa saa sita zinazofuata. Ukishindwa kabisa kuacha kuwasha sigara toa sigara kwenye paketi weka mdomoni, toa kiberiti ukiwashe lakini usiwashe sigara. Ukiacha hiyo sigara mdomoni kwa dakika mbili bila kuiwasha una ushindi mkubwa. Siku ya kwanza uzalendo ukikushinda usikate tamaa. Jaribu tena kesho yake. Kila wakati jipongeze kwa idadi ya masas uliyoacha kuvuta. Mtu yeyote anayetaka kuacha kuvuta sigara ajaribu kufanya hivi. Utashinda uvutaji uliolitesa kwa miaka mingi
Well said ndugu,,,Ila kiukwel najua misimamo yangu,maana kama niliweza kuweka nadhiri arsenal ikipoteza final na barca mwaka 2006 sitakula nyama miaka kumi,na nikaitimiza aisee hii sigara sio chochote kwangu kbsa
 
Mtoa mada unajihangaisha tu, hivyo unavyotaka kufanya ww mm nishafanya sanaa na bado imekuwa ngumu kuacha fegi, ushauri kama unataka kuacha sigara usitangaze acha kimya kimya.
Bora nitangaze ili nione aibu nikiishika tena. Ukiacha kwa siri hata ukirudia haikuhukum maana jamii haikujua,,,kwanza kwa sababu nmedharia na sijawah kutaman kuacha toka nmeanza Ila Jana nmetangaza rasmi cigara bye bye bye
 
.....wote tukiacha wakulima wa tumbaku wafe njaa?....umeacha mtu,wanaanza watu;
....hatujaja kuishi milele!
 
Enzi za ujana niltangazaga kuacha sigara hadi makanisan wakawa wananiombea lakin haikuwezekana
@nakumbuka niliacha sigara baada ya mhehe mmoja pale Tanangozi kunidhalilisha kwa deni la sigara 4 yan tsh mia moja,dah alinikuta nipo na shangingi flan mixer ya mnyalu na mkinga alinitukana balaa wakat mm nshijikosha kwa mtoto
@nilisikitika sana na nkajiuliza kwann sigara za 100/=ziniadhili.kias kile ukizingatia jamaa alikuwa akinipaka nkiwa grocery moja ya pale stend
@Nlimlipa elf moja badala ya mia moja na nkasema sitavuta tena sigara na mpaka leo yapat miaka zaid ya 12 sijaivuta sigara wala tumbaku japo tunailima,mpaka leo nikipita tanangoz lazma nimtafte yule bwana aliyenitukana tukapate bia maana matusi yake yaliokoa maisha yangu
@so kijana weka nadhil ya ukwel utaweza kuiacha!,
 
Mtoa mada unajihangaisha tu, hivyo unavyotaka kufanya ww mm nishafanya sanaa na bado imekuwa ngumu kuacha fegi, ushauri kama unataka kuacha sigara usitangaze acha kimya kimya.
Hakuna mwacha sigara hapo.
Huyo ataacha siku mbili atapata kitu kimemfurahisha atapiga..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom