Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

Ww hutakiwi kujiita at ulikuwa mvutaji sana wa sigara ww bado mwanafunzi kwanza unajua idadi kwa cku,Na hao ni madaktari wa kitanzania tuuu hawana uwezo wa kutafiti,et maji yanatibu huu ni uvivu wa kufikiri,Imo sana mtaani utasikia Nimeshauriwa na dk ninywe maji mengi et sita pata homa ovyo uwongo mtupu, tatizo la madaktar wetu hawatki kuumza kichwa kufikiria zaidi,Wasomi wengi wa kitanzania ni wavivu nashangaa hata hizo lenki za elimu sijui vigezo gani vinatumika,pumbavuuuuuuu
Pamoja na kufoka koteeeeee umesema nini? Idiot.
 
nimekuwa mvutaji mzuri wa sigara kwa muda wa miaka 8,nilikuwa navuta 5 mpaka 6 kwa siku. nilianza kama utani baada ya kuathiriwa na moshi wa wavutaji nami nikasema ngoja nijaribu, baadaye nikafanya kweli na kuwa mvutaji mzuri kuliko hata walionifundisha. sasa nina wilki 3 sijavuta na wala sitaki kunusa hata moshi wake.
nimekwenda hospitali kuangalia afya nimekuta nina afya nzuri pia nimeshauliwa niwe nakunywa maji ya uvugu vugu zaidi ya lita nne kwa siku.
na wewe kama ni mvutaji nakushauri kuanzia sasa acha.

vinavyokatazwa ndivyo vinavyopendwa.

uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako kama unavuta alafu huli chakula kinachoeleweka.

Sigara 5 mpaka 6 kwa siku halafu unajiita ulikuwa mvutaji mzuri?!! Wewe ulikuwa huvuti bali unaonja tu!!
Hongera sana kwa kuacha.
 
nimekuwa mvutaji mzuri wa sigara kwa muda wa miaka 8,nilikuwa navuta 5 mpaka 6 kwa siku. nilianza kama utani baada ya kuathiriwa na moshi wa wavutaji nami nikasema ngoja nijaribu, baadaye nikafanya kweli na kuwa mvutaji mzuri kuliko hata walionifundisha. sasa nina wilki 3 sijavuta na wala sitaki kunusa hata moshi wake.
nimekwenda hospitali kuangalia afya nimekuta nina afya nzuri pia nimeshauliwa niwe nakunywa maji ya uvugu vugu zaidi ya lita nne kwa siku.
na wewe kama ni mvutaji nakushauri kuanzia sasa acha.

vinavyokatazwa ndivyo vinavyopendwa.

uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako kama unavuta alafu huli chakula kinachoeleweka.

HONGERA SN, bali kwa tahadhali ni kwamba sigara (tumbaku) ina sumu iitwayo NICOTINE hii ina inaleta utegemezi kwenye ubongo (ADDICTION) na ni progressive yn huwezi kupona isipokuwa ume-arrest matumizi yake, nakushauri tafuta fellowship ziitwazo NARCOTICS ANONYMOUS (N.A) ni umoja wa wanaume na wanawake waliokuwa watumiaji wa sigara na wameacha so wanakuwa wanakutana kwenye mikutano inayofanyika kila wiki na kupeana ujuzi, uzoefu na matumaini jinsi ya kuishi bila uvutaji. Kumbuka hakuna ada ya kujiunga au uanachama: Kwa maelezo zaidi: +255 789 78 05 29
 
Haha haha mtoa mada umenichekesha kweli unajisifu una wiki 3 tangu uache tena ulikua unavuta sigara 3 kwa cku unajiita chain smoker let me tell u this nimeacha sigara mwaka wa 5 sasa na nilikua navuta sigara packet 3 kwa siku that means 60 cigarettes a day nilichofanya niliamua leo ni cku ya mwisho kuvuta sigara at that time nina packet 1 kwa mfuko sikuvuta siku hiyo na baada ya wiki 1 nikatengeneza frame ya kioo na kuifadh ile packet nikaitundka ukutan chumban ili kila nikiiona nataman kuvuta ila siwez kuivunja nikachukua huez amin mpaka sasa ipo ukutani na sijavuta sigara tangu tar 26th November 2010 na nina subir tarehe iyo itimie ili niihamishie sitting room kwa ukumbusho na stage hiyo ninaweza kukaa na wanaovuta sigara bila kuwa na hamu ya kuvuta. ...
 
Bora umwambie huyo anadhan everything is done under Natural forces. ......I was bounded by a certain habit for 7 years nilijitahid kuacha Lakin wapi!!! But nilipoomba aaah Everything was done
Kwa maana mioyo ya watu hawa imepumbaa, Na masikio yao ni mazito ya kusikia, Na macho yao wameyafumba; Wasije wakaona kwa macho yao, Na kusikia kwa masikio yao, Na kufahamu kwa mioyo yao, Na kubadili nia zao, nikawaponya.
Matendo ya Mitume 28 : 27
 
hata mimi niliacha mpaka sasa ni mwaka na miezi kazaa,nilipoanza kuacha miezi miwili ya kwanza nilifanya mazoezi makali asubuhi na jioni na kweli ilikuwa inasaidia kuondoa ham ya kuvuta sigara kabisa pamoja nna tendo la ndoa baada ya miezi miwil ham iliondoka kabisa hata bila ya kufanya mazoezi na ndio mpaka sasa sijawahi kuvuta tena,ila wakati mwingine najisikia ham ya kuvuta ila napuuza,so kitu kikubwa uwe na dhamira ya kuacha kuvuta kwani si rahis sana.
 
Sipendi kuendelea kuvuta Sigara. Lakini kila nikijaribu nashindwa. Kuna mtu mmoja aliniambia kuwa siku moja alipita maeneo ya Ubungo akakuta Masheikh fulani wanauza dawa ya kuacha sigara.

Bahati mbaya nimekuwa nikipita maeneo hayo bila mafanikio ya kuwaona. Je kuna mtu anafahamu hii dawa anisaidie namna ya kupata.
 
amua utaweza tu, mimi nimeamua kuacha baadhi ya vitu na nimeweza, ila Muombe pia Mungu akusaidie.
 
Wakuu nina zaidi ya miaka navuta sigara, nimejaribu kuacha lakini dah inaniwia ngumu mno, kibaya zaidi hadi ndoa haina raha kwa sababu ya masigara, natamani kuacha lakini nikiiona sm moyo unanilipuka naomba ushauri kwa waliofanikiwa kuacha walitumia mbinu gani?

Manake ki ukweli nachukia kuvuta sigara lakini nashindwa.
 
Wakuu nina zaidi ya miaka navuta sigara, nimejaribu kuacha lakini dah inaniwia ngumu mno, kibaya zaidi hadi ndoa haina raha kwa sababu ya masigara, natamani kuacha lakini nikiiona sm moyo unanilipuka naomba ushauri kwa waliofanikiwa kuacha walitumia mbinu gani? Manake ki ukweli nachukia kuvuta sigara lakini nashindwa.
Acha mambo ya ki**nge kama huipendi haya bana! Afu nashangaa huyo sholi anaona leo harufu ya mufele
kwani hakuisoma wakati unambashia? We msikilize tu, utasikia oooooh mama yake mchawi afu uje JF unalialia.
 
Kama hauipendi acha!!! ila kwa kuwa ndio aina ya maisha uliyoamua kuachia basi endelea kuvuta.... ila kama unapenda kuacha mshirikishe na Mungu,,I THINK umeshaelewa unatakiwa ufanye nn
 
Okoka brother umkabidhi Mungu maisha yako na taratibu utaacha kwani huwez kiacha kwa siku moja hivyo taratibu utaacha then utakua saf kwan hukuumbiwa kuvuta sigara
 
Me nilianza kuvuta mwaka 1975, Mungu mkubwa nimeacha tangu Februari 2015 [40yrs], lakini nakushauri uamue kuacha.Hakuna miujiza zaidi ya uamuzi.
 
Ujasiri wako ndio kuacha kwako upunguze na hizo pombe!!!. Mie nilikuwa napenda sana mume wangu alipokuwa anavuta sigara. Nilikuwa napenda sana kusikia harufu yake. Baada ya kugundua madhara yake niliamua tu kuichukia na kumshawishi jamaa mpk imefutika kbs. Ni akili yako tu uiambie kuwa hutaki tena na ufanye kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom