Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,451
- 92,814
Ni maamuzi tu.
Sigara unatakiwa kuacha "coldturkey" yaani papo kwa hapo. Hautakiwi kupunguza kidogo kidogo. Utapata shida mwanzoni lakini ukishafikisha siku 14 mpaka 30 bila kuvuta, ile hamu ya sigara inakuwa imeshapotea mwilini mwako.Jinsi ya kuacha kuvuta sigara
1: Kukata shauri la kuacha kuvuta toka ndani yako.Jinsi ya kuacha kuvuta sigara
mkuu sigara dawa bei ya jumla tunauza... Nitafutie wateja huko ulipoMimi nliamua ku switch kwenda sigara dawa. Nina zaidi ya miez 8 sijawah kuvuta enye iko na filter
Upande huu alosto hakuna kabsa. Nko mbioni kutemana.
Lakn katika kitu ngumu n kuacha
Asante mkuu je izo chewing gum zinaitwaje1: Kukata shauri la kuacha kuvuta toka ndani yako.
2: Epuka vishawishi vinavyokusababisha uvute.
3: Kuna chewing gum ambazo zina nicotine kwa kiasi kidogo. Ambazo hutumika kupunguza hamu, kiasi cha kuanzia hutegemea na kiasi cha sigara kwa siku ulichokuwa unavuta vs urefu wa muda uliotumia kimaisha. Hivyo, unaenda ukipunguza kiasi cha gums kadri muda unavyoenda na mwisho kuacha kabisa bila madhara.
Asante mkuu je izo chewing gum zinaitwaje