jinsi ya ku unlock modem ya zantel ili uweze kutumia line yoyote

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,347
wadau msaada jinsi ya ku unlock modem ya zantel ili uweze kutumia line yoyote
 
jamani mjibuni tu kuwa kwa mordem hiyo haiwezekani mordem hiyo hai ingiliani na sim card za tigo,airtel, na voda ,hata ukichakachua utatumia line gani hiyo ni kwa zantel na TTcl tu mana ukisema ni CDMA hata kuelewa msichoke kuwaelimisha wasio jua mana hata sisi tumetokea huko huko hakuna aliozaliwa akawa anajua bila ya kujifunza
 
Umejibu vizuri, ndio maana nakupenda bi fatma, wajina wake mama angu. Humu kuna watu wanajifanya wajuwaji wakati na wao walikuwa mizigo huko siku za nyuma!!

wadau msaada jinsi ya ku unlock modem ya zantel ili uweze kutumia line yoyote
Hiyo haina jinsi kaka ...nunua kifurushi cha buku 5 upate unlimited ya 3 dayz au tafuta wa kumsukumizia then uongeze hela ununue zinazochakachulika.
 
jamani mjibuni tu kuwa kwa mordem hiyo haiwezekani mordem hiyo hai ingiliani na sim card za tigo,airtel, na voda ,hata ukichakachua utatumia line gani hiyo ni kwa zantel na ttcl tu mana ukisema ni cdma hata kuelewa msichoke kuwaelimisha wasio jua mana hata sisi tumetokea huko huko hakuna aliozaliwa akawa anajua bila ya kujifunza
Nimeipenda hii!!!
 
Back
Top Bottom