Jinsi ya ku-install window 7 kwenye simu janja (smartphone)

Aug 18, 2019
80
177
matumaini yangu ni mzima wa afya..
Leo ntaelekeza ni namna gani unaweza ku-install window 7 kwenye simu yako ya mkononi, najua itakushangaza sana ila nirahisi mno.

kinachoitajika ni umakini wako tu katika kufuata hatua zifuatazo:

1. Download app hii Android windows, unaweza ukatumia browser yoyote ya simu yako, ukaingia Google na kui-search app hii ukaipata.

2. Kabla ya kuinstall unatakiwa kuweka on Unknown sources, kwa kwenda kwenye Settings ya simu yako >nenda kwenye security >shuka chini kisha utaweka tick kwenye Unknown sourses, baada ya hapo nenda uka-install app yetu ya Android windows.

3. Ikisha maliza ku-install ifungue kwa kubofya Open, mpaka kufikia hapo utakua ushakamilisha zoezi letu, simu ako itakua na muonekano wa Window 7

Capture%2006.PNG
 
matumaini yangu ni mzima wa afya..
Leo ntaelekeza ni namna gani unaweza ku-install window 7 kwenye simu yako ya mkononi, najua itakushangaza sana ila
mm nili install Window10
nirahisi mno.

kinachoitajika ni umakini wako tu katika kufuata hatua zifuatazo:

1. Download app hii Android windows, unaweza ukatumia browser yoyote ya simu yako, ukaingia Google na kui-search app hii ukaipata.

2. Kabla ya kuinstall unatakiwa kuweka on Unknown sources, kwa kwenda kwenye Settings ya simu yako >nenda kwenye security >shuka chini kisha utaweka tick kwenye Unknown sourses, baada ya hapo nenda uka-install app yetu ya Android windows.

3. Ikisha maliza ku-install ifungue kwa kubofya Open, mpaka kufikia hapo utakua ushakamilisha zoezi letu, simu ako itakua na muonekano wa Window 7

View attachment 1698687
 
Back
Top Bottom