Jinsi ya ku flash simuu wa kuu

Wakuu naomba msaada jinsi ya kuflashi simu na application ya kutum
kama ni simu za kichina (MTK) basi tafuta SP_FLASH_TOOL (ni freeee) ndio program ya kuflash (AT your own risk), ukishaipata tafuta ROM ya simu yako utaipata website ya HOVATEK au ROMKINGZ website).... mengine google ujiongeze.
 
Back
Top Bottom