sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 2,895
- 5,909
Rejea hapo nyuma wale vijana wa rika lako ambao walionekana watukutu shuleni na mtaani, walitazamiwa kuja kuishi maisha magumu kwa sababu ya kuchukiwa na wazazi wao pamoja na watu wengine.
Maisha yakazidi kusonga wewe ambae ulionekana mwema,mtoto mzuri unaefaa kuigwa na jamii na kila mzazi alitamani uwe mtoto wake ukahitimu A level,ukaenda chuo na kubahatika kibarua
Huku nyuma wale watukutu na wakorofi walizidi kuchukiwa na wazazi wao pamoja na ndugu zao kwa kuonekana hawafai.
Sasa wewe msomi
unapokosa ajira na kurudi nyumbani au
Unapata ajira unafukuzwa na kurudi myumbani
Wale wazazi wa watoto watukutu huanza kurudisha upendo kwa watoto wao kwa kusema mbona mtoto wa fulani amepoteza tu ada za wazazi wake bora wangempa mtaji afanye biashara
Na wale vijana watukutu mtaani wanaanza kujifariji mbona fulani kazingua yupo tu kitaa anasota nasisi..wanasahau kwamba muda wowote unaweza ukafyatuka kama mshale
MLIOPO KAZINI IWE KWA KUAJIRIWA AMA KUJIAJIRI MUWE NA HESHIMA,ADABU,BUSARA NA UTII.ili msije kudharaulika mtaani