Jinsi wanawake waliopo kwenye ndoa wanavyotafuta mke wa familia bila kujua

Ifike mahali pia wanaume wakiafrika wajue mipaka Kati ya wasaidizi wa kazi za ndani na mke (mother house ) housegirl ameletwa kwa ajili ya kufanya shughuli za ndani /nyumbani ndo kilichomleta pale nothing else hizi tabia za baadhi ya wanaume kutembea na mahousegirl eti kwasababu anakufulia vizuri sijui anakupikia vizuri anajali ni visingizio tu naamini wakati mna tafuta house huwa mna tafuta the best one lengo ni afanye kazi iliyomleta kwa ufasaha ila wanaume wengi kwa tamaa zao wanawatumia mahousegirl kingono kwa kisingizio kwamba mother house kajisahau,.
kweli kabisa ndio maana ili kuepuka hayo kila mtu alale kwenye majukumu yake ipasavyo. Kukitokea hitilafu tu...basi familia ipo hatarini kuharibika kwanzia watoto mpaka wazazi. Kuna watoto wamekuwa wakubwa wakijua tu kuwa kazi ya wazazi ni moja, kuchangia ada ya shule tu. Na hizo familia pamoja ziko vizuri kiuchumi lakini hazina upendo wa kifamilia.
 
housegirl ni jina tu, hata yeye akishaolewa anakuwa yeye ndio motherhouse na baadaye na yeye anaenda kutafuta housegirl. Mwishoni anamuachia nyumba yote housegirl amiliki, na chain inaendelea kwa mtindo huo.
Na we endelea na chain ya kuoa hgirl
 
Tafuteni hela basi
Watoto kwenda shule vicoba vya mama,
Kila kitu Mama atafute.hata ukivaa boxer mwaka mzima chafu Nani anajali?
Wanaume mmesahau wajibu wenu na malipo ni hapa hapa,mtanuka mapumbu hadi mkome
 
kweli kabisa ndio maana ili kuepuka hayo kila mtu alale kwenye majukumu yake ipasavyo. Kukitokea hitilafu tu...basi familia ipo hatarini kuharibika kwanzia watoto mpaka wazazi. Kuna watoto wamekuwa wakubwa wakijua tu kuwa kazi ya wazazi ni moja, kuchangia ada ya shule tu. Na hizo familia pamoja ziko vizuri kiuchumi lakini hazina upendo wa kifamilia.
Nadhani mume pia anatakiwa kulaumiwa I mean unakuwaje mpumbavu /mpuuzi mpaka unakubali kuvunja ndoa yako kwa kisingizio cha housegirl?!!! So stupid alafu unakuta mwanaume anafurahia kabisa kwamba house girl ndo chanzo cha ndoa yake kuvunjika.. Wanawake wana case chache sana za kutoka na mahouseboy sababu wanajua nafasi ya houseboy no matter how much anafanya kazi vizuri au kumjali namna gani, kwa hili Wanawake wamefauli shida niwanaume wa chache kwa tamaa zao wanaharibu family zao kwa kisingizio cha housegirl anajali.
 
Kina mama leeni watoto wenu wa kiume vyema

Wajue ndoa ni mke na mume hakuna mshika ndoa wala.muendesha ndoa

Wafunzeni kuheshimu wasaidizi wa ndani na kuwachukulia kama sehemu/mtoto wa familia na waache kuwageuza watumwa wa kingono

Wafundisheni kuwa ndoa inajengwa na mke na mume na sio mke pekee

Mwafundisheni kuwajibika na kubeba majukumu
 
Na we endelea na chain ya kuoa hgirl
ahahaha...mama yangu alishawahi kuwaga housegirl kabla hajakutana na mzee, lakini sisi nyumbani mwisho wa kukaa na housegirl ilikuwa kipindi nipo darasa la sita. Siku mama alipogundua kuwa housegirl aliingia chumbani kwake na kuiba nguo zake pamoja na vitu vya mzee, saa ya mkononi ya mzee alipewaga na mzungu alikasirika sana, nadhani akili ndipo ilimcheza vizuri, akagundua kuwa kama huyu housegirl kaingia chumbani kwangu wakati sijawahi kutoa ruhusa hiyo na kuiba vitu atashindwaje kuiba familia??? Sisi tulimsikia akisema mwisho kukaa na housegirl katika nyumba yangu. Lakini siri ni kwamba mama alikuwa busy na biashara yake ya duka kiasi kwamba sisi ilibidi tutoke shule ndio tuje kuanza kupika saa kumi jioni au kumi na moja, ndio maana akatafutaga housegirl.
 
Mume alaumiwe lakini utaeleza nini iwapo wewe, mama wa nyumba huna habari ya nyumbani kwako mpaka watu wanafanya mapinduzi ya nyumba. Je, ungekuwa makini na nyumba yako, usingegundua? Tamaa ya mwanaume ipo lakini mda mwingine inaruhusiwa tu burebure kufanya kazi.
 
Kina mama leeni watoto wenu wa kiume vyema

Wajue ndoa ni mke na mume hakuna mshika ndoa wala.muendesha ndoa

Wafunzeni kuheshimu wasaidizi wa ndani na kuwachukulia kama sehemu/mtoto wa familia na waache kuwageuza watumwa wa kingono

Wafundisheni kuwa ndoa inajengwa na mke na mume na sio mke pekee

Mwafundisheni kuwajibika na kubeba majukumu
Umesema vema. Lakini umeongea kama ndoa ni kitu ideal, yaani kama hakina ups and downs. Kosea vyote katika maisha lakini usikosee kuoa au kuolewa hata vitabu vya dini vimeeleza. Kiungo pekee katika ndoa ni mwanamke, ndio maana mwanamke akapewa moyo wa pekee sana unaofanya mambo kwa hisia zake lakini mwanaume hakupewa hiyo kitu. Ndoa imejengwa kuwa anapoanguka huyu, mwenzie amuinue. Kwahiyo jinsia zote zifundishwe kuwajibika ipasavyo, sio wanaume tu.
 
Kina mama leeni watoto wenu wa kiume vyema

Wajue ndoa ni mke na mume hakuna mshika ndoa wala.muendesha ndoa

Wafunzeni kuheshimu wasaidizi wa ndani na kuwachukulia kama sehemu/mtoto wa familia na waache kuwageuza watumwa wa kingono

Wafundisheni kuwa ndoa inajengwa na mke na mume na sio mke pekee

Mwafundisheni kuwajibika na kubeba majukumu
Wanaume wenyewe uwezo wa kutunza family hawana,inabidi wote tutoke tukirudi wote tumechoka.huo muda wa kumuogesha mtu unatoka wapi? Wagegede hata paka huko jikoni hakuna taabu
 
ahahaha...mama yangu alishawahi kuwaga housegirl kabla hajakutana na mzee, lakini sisi nyumbani mwisho wa kukaa na housegirl ilikuwa kipindi nipo darasa la sita. Siku mama alipogundua kuwa housegirl aliingia chumbani kwake na kuiba nguo zake pamoja na vitu vya mzee, saa ya mkononi ya mzee alipewaga na mzungu alikasirika sana, nadhani akili ndipo ilimcheza vizuri, akagundua kuwa kama huyu housegirl kaingia chumbani kwangu wakati sijawahi kutoa ruhusa hiyo na kuiba vitu atashindwaje kuiba familia??? Sisi tulimsikia akisema mwisho kukaa na housegirl katika nyumba yangu. Lakini siri ni kwamba mama alikuwa busy na biashara yake ya duka kiasi kwamba sisi ilibidi tutoke shule ndio tuje kuanza kupika saa kumi jioni au kumi na moja, ndio maana akatafutaga housegirl.
Basi endeleeni mkitoka mjini ndo mnaanza kufua na kupasi na kupika msiajiri mtu
Kitu simple kabisa

walioamua kuajiri hgirl pia waacheni waajiri
 
housegirl ajirini lakini msimuachie kila kitu kisa mnamlipa....ndicho kinachoongelewa hapa
 
Tafuteni hela basi
Watoto kwenda shule vicoba vya mama,
Kila kitu Mama atafute.hata ukivaa boxer mwaka mzima chafu Nani anajali?
Wanaume mmesahau wajibu wenu na malipo ni hapa hapa,mtanuka mapumbu hadi mkome
Sasa matusi ya nn kwenye hoja kama hii yenye afya? Au ni mmoja wa wahanga??
 
Mtoa mada pamoja na umwinyi mwinyi ulionao ila ulichoongea kwa kiasi kikubwa ni ukweli mtupu. Huu ni ukweli ambao wanawake wengi hatupendi kuusikia.

Inaleta raha jamani mwanamke anapoihudumia familia yake kwa kiasi kikubwa kwa yale majukumu ambayo tunajua ni ya mwanamke.
Siamini kama ni wewe umeandika hivi, sometimez unatema madini wewe!!
 
Back
Top Bottom