Jinsi walivyokunywa supu ya nywele

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Miaka kadhaa iliyopita nilisoma kitabu kimoja juu ya wafungwa wa kivita wakati wa WWII. Huyu jamaa alikuwa ni mmarekani aliyekuwa anaishi Ujerumani. Baada ya Warusi kuingia Berlin, wakambeba wakimtuhumu kuwa mNAZI.

Akiwa gerezani njaa ilikuwa kali sana. Walikuwa kila siku wakati wa msosi wanaletewa maji ya moto kunywa. Vifo vya njaa vilikuwa kila siku. Siku wakibahatika kupata supu ya nyama inakuwa bahati sana. Sasa wanasayansi wa kijerumani waliokuwa mle ndani wakaja na wazo.

Wakasema kuwa nywele zimetengenezwa na protin hivyo zinaweza pikwa supu. Wakatafuta wafungwa wote wenye nywele ndefu, wakawakata nywele na kupika supu ya kunywa wafungwa. Ubunifu wa hali ya juu.

Anasema kuwa madaktari wa kijerumani walikuwa ni watu competent sana. Hata wanajeshi wa kirusi walikuwa wanakataa kutibiwa na madaktari wa kurusi, walitaka wajerumani ambao ni wafungwa. Anasema walikuwa wanafanya surgeries kwa kutumia visu vya kutengenezwa toka kwenye mabatil na vyuma mbalimbali.

Baadaye jamaa akapelekwa Siberia. Sasa tofauti na watu wanavyodhani kuwa baridi inaleta nyege, ni kinyume chake. Baridi ikiwa kali hata uume hauwezi kusimama. Sasa mabwana jela wao huko Siberia wakawa na tatizo hilo. Madaktari wa kijerumani ambao ni wafungwa wakawa wanaingia msituni wanatafuta miti/aphrodisiacs, wanaiprocess na kuwachoma hao askari kutibu hiyo ishu.

Ishu nyingine, anasema kuwa huko Siberia baridi ilikuwa kali sana. Wafungwa wakawa wanacheza kamari. Mtu anasimama juu ya stuli halafu anakojoa. Watu wanabet kama mkojo utaganda kabla ya kufika chini au la. Anasema kipindi cha baridi kali mara zote mkojo uliganda kabla haujatua.
 
NGUMU KUMEZA

Sipandi hili gari
 
Kiukweli huwa nawaza sana!
Kama mambo yapo hivi, na hapa HATUJAIHALALISHA
sasa
Je SIKU TUKIAHALALISHA?
Huu mmea ni Janga
IMG_1135.jpg
 
Tafakuri
 
Hapo kwenye kwenye mkojo kuganda kabla haujafika chini umetunywesha chai yenye tangawizi kali.......imenishinda.
 
Kitabu kinaitwaje hicho?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom