Jinsi wakoloni waingereza walivotumia dini kutenganisha Taifa la India

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
4,486
2,000
Nchi ya India hipo bara la Asia.
Mwaka 1947 india ilipata uhuru toka kwa wakoloni wa wingereza.
Lakini kupata kwake uhuru ni kama kugawa uhuru ambao wakoloni wa wingereza walitenganisha India kupitia viongozi wachache.
Kabla ya kuja kwa wakoloni wa kiingereza india ilikuwa na kingdom nyingi na kila moja zikishirikiana kwa pamoja bila kutofautiana.
India ina dini kubwa ambazo 6
1-hindu
2-uislamu
3-wakristo
4-sikhism
5-buda
6-jain
Na zengine nyingi japo azina nguvu zana.

Historia ya kugawanyika:
Wakati wingereza ikiwa bado ijapatia uhuru iliweza kuangalia upendeleo sana ambao kutokana na matabaka ya maeneo kulingana na dini zao.
Koloni la wingereza lilipendelea sana hindu na wakristo sana katika nafasi za maendeleo na kazi hata huduma kupelekea mgawanyiko wa sehemu nyengine kukosa yote.
Hii yote ni kutokana na muongozo mbovu wa waingereza walioweka.
Tambua nchi ya india dini ndizo zinatawala maeneo kulingana na ukubwa wake.
Ikafikia mgongano wa viongozi kushindwa kuelewana ambao muasisi wa pakistani kuanza kuomba utaifa ili kukomboa dini ya kiislamu.

Tarehe 15 agust 1947

Nawab Mahabat Khan kutaka taifa uhuru lilojitenga na india kwa kuwa maeneo hayo yametawaliwa na idadi kubwa ya waislamu. Na kukubalika 15 September 1947.
Na kupatikana pakistani na pakistani ya mashariki ambayo kwa sasa inaitwa (bangladesh).

IMG_8031.jpgKutokana na serekali ya pakistani kijografia,vita vya wenyewe kwa wenyewe,migongano ya kimipaka na india.
pakistani ya mashariki ikashindwa kuendesha pakistani ya mashariki.
Pakistani ya mashiriki 6 December 1971 ikatangaza kuwa taifa nalo na kuitwa rasmi bangladesh.

Lakini bado miaka inavozidi kwenda india itazidi kugawanyika kuwa na mataifa uhuru mengi
 

kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,510
2,000
Imani inaweza kukufanya uone vyeti vyako vya kitaaluma si chochote si lolote. Ganges gorge ni mfano hai kipindi cha mripuko wa third wave delta
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom