Raha zingine zinaboa kweli, ila hapa pamoja na kwamba ni kundi dogo tu lakini inapredict uhalisi wa general life ya watanzania walio wengi, hasahasa waishio bila kazi.
Maisha yangu sio magumu kiasi hicho kama mawazo yako yalivyo
Au leo umeamshwa, hujaamka mwenyewe????
Hapo kwenye heading nimeandika WABONGO sasa ningeandika WABONGO WOTE si ndo ungeniombea BAN kabisa???
Au wewe umo ktk hiyo photo??? Hao pekee hawawezi kuitwa Wabongo???
Pevuka kijana . . .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.