Diss Meddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 587
- 1,285
Daaah hiyo ni kweli mkuu hayo yametokea kwa familia yangu bi mkubwa ilikua ni ugomvi kila siku na msure mpaka wakatengana room mwisho wake tumemzika mwaka jani msure.
AiseNgumu kumesa...
Nimejikuta nawazia hii.
Baba anapokuwa bado ana nguvu, yuko kazini huwa anakua na nguvu pamoja na ushawishi mkubwa sana kwenye familia yake, familia humsikiliza, huzingatia uwepo wake!
Muda wa tatizo.
Tatizo huanza pale baba anapozeeka, nguvu za uzalishaji mali zimekwisha, amestaafu! Na pale watoto wanapokua wamekua watu wazima wameanza maisha yao. Hapo ndiyo mambo kwa baba humgeuka.
Mkewe huanza kumchukulia poa na ile heshima aliyokuwa akipewa huanza kupungua taratiib, baba hasikilizwi tena kama zamani. Isitoshe anakua hahusishwi sana tena kwenye mambo ya mkewe sababu hata akiambiwa atasaidia nini na pesa hana?,badala yake mkewe huanza kuwafanya watoto kuwa washirika wake zaidi na kumuweka kando mumewe.
Baba anaachwa pembeni na Mama huanza safari kwenda kwa watoto, huko hukaa sana, baba kaachwa nyumbani peke yake.
Watoto wanagombea mama aende kwao, lkn baba hakuna anayemtaka.
Wakiwa nyumbani na mkewe, simu toka kwa watoto 80% anapigiwa mama, baada ya maongezi marefu, ndiyo baba anapewa simu anasalimiwa dakika mbili tu.
Imeisha hiyo!
Baba simu anayo japo ni kuu kuu la kizamani tofauti na ya kamera ya mama ila haoni simu za watoto wakimpigia, na wakimpigia ni kwa sababu maalumu tena maongezi huwa mafupi.
Hawana muda nae.
Baba anajikuta anakuwa mpweke sana, anakua mgeni kwa familia yake mwenyewe.
Wale ambao alizimalizia nguvu zake za ujana kuwatafutia hawana muda nae. Pale baba anapokuwa anaihitaji sana faraja ya familia yake sababu ameshazeeka.
Familia humpa kisogo.
Upweke unamsonga. Sababu ya upweke mawazo humsonga, hili hupelekea kinga ya mwili kushuka na kufanya iwe rahisi kushambuliwa na magonjwa na haichukui muda anafariki.
Familia watalia, watachapisha matisheti, watatoa pesa kumnunulia sanduku la gharama na kumjengea kaburi la gharama, mitandaoni watampost sana. Lakini alipokuwa hai "No one cares".
Tuwajali baba zetu, walijitoa na kujinyima sana kufanya tufike tuliko. Ni dhambi mbele za Mungu tena ni laana mbaya kuwapuuza baba zetu.
Wakati unaendelea kumsifia mama yako kuwa ni bora,msifie hata baba kwa kukuchagulia mama aliye bora.Mwanaume unamtumia mama laki moja baba anatumiwa elfu tano hivyo unapoka madaraka ya baba nyumbani maana mwenye pesa ndiye mwenye mamlaka.
Baba anaambiwa usipotii hutakula umesahau nawe ni mwanaume yatakukuta kama hayo.
Ujumbe huu uwafikie wana JF wote na wauangalie kwa jicho la tatu.

Mkuu vp umepungua unene??Namanisha ile kizaidi..kila mtu ana mapenzi zaid kwa mzazi mmoja
Umeongea neno kuoa nimepata raha ajabu..bora unioe nisitirike...nimepungua kias..ingawa sijapima bado...Mkuu vp umepungua unene??
Nlikuahidi ukipungua tuu nakuoa
Ebu nipe mrejesho dear
Wanawake ni multipurpose mkuu..mfano mie leo nimetoka hom asbh...nimefika hom saa11..mwenzangu kafika saa9 akalala..mie nimefikia jikoni nimepika, nikahakakikisha wanangu wanaoga before saa1 usk na wamefanya homwork...saa 1 nikaenda kwa client wangu 1 nikamchek na nikarudi na maji...saa2 niko hom wamefanya homework zao....muda huo mwenzangu kashaenda kusafisha koo...umeona kazi nilizofanya toka saa11-2? Kupika,kusimamia waoge,nk nkWababa wengi sio kwamba hawapendi kujenga bond na watoto wakiwa wadogo, lakini pilikapilika za utafutaji, wakirudi nyumbani akili yote inawaza kupumzika.. Wabadilishane mwezi mmoja, mama akatafute kwa njia za halali, halafu baba abaki aogeshe watoto, uone kama mama akirudi ataanza kupalangana na watoto
Raha mnoAisee!Watoto wangu wa kike ndiyo marafiki wangu.Hebu ngoja nizeeke nione watakavyonitenda😁😁😁😁😁😁😁😁
Wanawake ni multipurpose mkuu..mfano mie leo nimetoka hom asbh...nimefika hom saa11..mwenzangu kafika saa9 akalala..mie nimefikia jikoni nimepika, nikahakakikisha wanangu wanaoga before saa1 usk na wamefanya homwork...saa 1 nikaenda kwa client wangu 1 nikamchek na nikarudi na maji...saa2 niko hom wamefanya homework zao....muda huo mwenzangu kashaenda kusafisha koo...umeona kazi nilizofanya toka saa11-2? Kupika,kusimamia waoge,nk nk
Ni kweli ulichosema lakini sio kwa kesi yako hii ulioitokea mfano mkuu.
Kwa kesi yako hii umefanya kitu ambacho tangu asubuhi kilikuwa kichwani kwako kama jukumu lako ukirudi nyumbani. Na si ajabu unafanya kila siku.
Kwasababu society zetu zimetengezwa kwa mfumo huo, kama vile ambavyo ikitokea watoto wakakwama ada, ni rahisi wewe kuwaambia watoto wampe baba taarifa lakini sio baba awaambie watoto wakupe wewe taarifa za kulipa ada.
Na hapo hatujaja upande wa anachofanya mwenzako, kwa mfano mzee trafic wewe ni mwalimu, unafikiri mkirudi nyumbani mtakuwa na energy sawa mkuu ? Maana kutoka nyumbani na kurudi jioni bado inategemea huko mlipoenda kila mmoja anajishughulisha na nini.
Umeongea neno kuoa nimepata raha ajabu..bora unioe nisitirike...nimepungua kias..ingawa sijapima bado...
Sasa lini unakuja niposa hom na mm nimfute bimkubwa machozi??