Jinsi vyuma vilivyokaza unajisikiaje ukiona tangazo hili la offer toka Tigo

Tatetitotu

Member
Mar 6, 2018
58
42
Kutokana na hali ngumu ya uchumi nina hakika wengi wetu tunatumia smart phone za chini ya laki 2 fikiria una simu yako ya laki moja na bundle lako la kubahatisha hafu ukifungua page tofauti kwa mtandao unakutana na Tangazo la Offer(promotion) toka Tigo Samsung Galaxy S9+ Sh.2,315,000// tuuu HUWA UNAJISIKAJE?
 
Hua naenda kuinunua hio simu straight.....na type nikiwa ndotoni hapa.
 
Inaonekana saivi vyuma vimekaza sana hii tabia ya makampuny kuleta matangazo juu ya sm hata kama unaandika sms ni kwangu peke yangu au
 
Kutokana na hali ngumu ya uchumi nina hakika wengi wetu tunatumia smart phone za chini ya laki 2 fikiria una simu yako ya laki moja na bundle lako la kubahatisha hafu ukifungua page tofauti kwa mtandao unakutana na Tangazo la Offer(promotion) toka Tigo Samsung Galaxy S9+ Sh.2,315,000// tuuu HUWA UNAJISIKAJE?
Kama ukijiskia vibaya kuona simu inauzwa ivo na wewe ni mwanaume jua unaweza kuolewa anytime maana una tamaa na vitu usivoweza kuvipata...

Kuna 48 Laws of Power

LAW 36 inasema hivii
"Disdain Things you cannot have: Ignoring them is the best Revenge "

Relax. Take it easy. We only live once.
Usiumie sana mi mwenyewe natumia S8+ but I gotta tell you this you don't have to sell your dignity over material things.
They aint worth it.

We dont live forever!
 
Hongera ako
 
Ezekiel 47;12 Na karibu na mto, juu ya ukingo wake, upande huu na upande huu, utamea kila mti wa chakula, ambao majani yake hayatanyauka, wala matunda yake hayatatindika kamwe; utatoa matunda mapya kila mwezi, kwa sababu maji yake yanatoka mahali patakatifu; na matunda yake yatakuwa ni chakula; na majani yake yatakuwa ni dawa.
 
Umeniacha hapa mtumishi dadavua kidogo
 
Kama shilingi vile ilivyo na pande mbili

Ukiamua kutuliza akil inatulia kweli ukiamua kuivuruga unavuruga mpka mtu unajiuliza n huy huy ama kuna mtu kahack acc yako
 
Ndo maana hii dunia watu wenye roho mbaya hawatakuja kuisha, we pata picha mtu kajipinda kanunua simu ya Milion 2.3, afu teja anakuja kupita nayo na kwenda kuiuza elfu 90 tu!! damn it
 
Umeniacha hapa mtumishi dadavua kidogo
Na karibu na mto Mto Kagera ( Chato), juu ya ukingo wake, upande huu na upande huu, utamea kila mti wa chakula, ambao majani yake hayatanyauka, wala matunda yake hayatatindika kamwe; utatoa matunda mapya kila mwezi, kwa sababu maji yake yanatoka mahali patakatifu; (Magogoni) na matunda yake yatakuwa ni chakula; na majani yake yatakuwa ni dawa. Chato International Hospital
 
Ndo maana hii dunia watu wenye roho mbaya hawatakuja kuisha, we pata picha mtu kajipinda kanunua simu ya Milion 2.3, afu teja anakuja kupita nayo na kwenda kuiuza elfu 90 tu!! damn it
Bora anayeibiwa simu ya 2.3 million uwezekano wa kununua nyingne atakua nao kuliko anamuibia raia phone ya laki 1 wengi
 
Kutokana na hali ngumu ya uchumi nina hakika wengi wetu tunatumia smart phone za chini ya laki 2 fikiria una simu yako ya laki moja na bundle lako la kubahatisha hafu ukifungua page tofauti kwa mtandao unakutana na Tangazo la Offer(promotion) toka Tigo Samsung Galaxy S9+ Sh.2,315,000// tuuu HUWA UNAJISIKAJE?
Screenshot_20190517-161100.jpeg
 
Back
Top Bottom