Jinsi vyuma vilivyokaza unajisikiaje ukiona tangazo hili la offer toka Tigo

Na karibu na mto Mto Kagera ( Chato), juu ya ukingo wake, upande huu na upande huu, utamea kila mti wa chakula, ambao majani yake hayatanyauka, wala matunda yake hayatatindika kamwe; utatoa matunda mapya kila mwezi, kwa sababu maji yake yanatoka mahali patakatifu; (Magogoni) na matunda yake yatakuwa ni chakula; na majani yake yatakuwa ni dawa. Chato International Hospital
Daaah!!! Hii kitu haikupata kutokea Butiama hadi Msoga...
YAJAYO YANAFURAHISHA...
 
Back
Top Bottom