cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,317
- 7,509
Watumiaji wa Vodacom wamebaini kuwa kabla ya wiki mbili zilizopita huduma ya SONGESHA,na MPAWA zilisimamishwa kwa muda
Baadhi ya wateja wamesema walitumiwa SMS na huduma kwa wateja kuwa mfumo wa huduma hizo umeharibika kwa muda
Hata hivyo wachunguzi wamebaini kuwa hakuna mfumo ulioharibika bali wamekwepa hasara ambayo wangepata baada ya laini kufungwa
Nadhani kuanzia kesho huduma za Mpawa na Songesha zitarudi hewani
Sent using Jamii Forums mobile app