Jinsi visingizio, malalamiko, ubinafsi na usaliti unavyoimaliza na kuidhoofisha CHADEMA

Masinki Nyansarari

Senior Member
Nov 24, 2018
142
98
Wakuu,nawasalimia katika Bwana!

Ni Alhamis nyingine tena,tunapoelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu,na uchaguzi ujao wa 2020 ni vema zaidi tukaanza kuangalizia Taasisi zinazotarajia kushiriki katika uchaguzi huo ambazo ni vyama vya SIASA.

Moja ya Taasisi hiyo ni Chadema ambayo ilikuwa imara enzi zake za wakina Dr. Slaa Wilbroad Peter,Zitto Kabwe Ruyaga,Prof.Mkumbo Kitila,Freeman Mbowe(kipindi akiwa na akili zake),John John Mnyika(enzi hizo akiwa mnyika kweli)John Heche(enzi hizo akiwa pale Bavicha) hawa jamaa bwana kipindi hicho walikuwa moto sana.

Ni Chadema iliyokuwa inaelekea ikulu bila ubishi walijiandaa vizuri na walikuwa na agenda,UFISADI,matumizi mabaya ya Raslimali zetu,na mengine mengi.

Lakini ghafla Chadema ile iliyotegemewa na wengi ilifanya bonge la kosa tena kosa kweli ni la kuwapokea wale iliyokuwa ikiwataja na kuwaaminisha wananchi kwamba ni MAFISADI,wala rushwa na walio dhulumu Nchi yetu.

Hapo tuliona Wale wanachadema kweli wenye akili zao wakiondoka tena huku wakiumia sana katika mioyo yao mfano ni Dr Slaa(wao humuita Dr Mihogo jina alilopewa baada ya kukataa kuwa msaliti wa kile alichoamini na kukisimamia).

Pamoja na usaliti ule walibahatika kupata wabunge zaidi ya 40 sio kwamba ilikuja tu kama bahati hapana ni maandalizi yao waliyokuwa wamefanya wakiwa na gwiji lao Dr Slaa.

Baada ya hapo tulianza kushuhudia wanachadema waropokaji wasio na data of evidence,wasio na future mbele yao neno Ufisadi likawa chungu sana vinywani mwao,matusi ya kumtusi Rais yakawa ni ndio msingi na agenda yao waliongozwa na mwanasiasa,mwanasheria nguli Tundu Lissu,ukawa ni mwanzo wao wa kupoteana mwisho kila mmoja alishuhudia wabunge wao baadhi waliondoka na kuhamia upande wenye maono.

Mara Chadema ikaanza kuwa ni chama cha kufanya matukio ili wakamatwe na Polisi wetu ni wanachama wachache ambao sijawahi kusikia wamefanya comedy ili waswekwe ndani mfano ni Prof Jay(Joseph Haule mbunge wa mikumi),yule wa Mbozi na baadhi ya Wabunge wa viti maalum.

Visingizio vikaanza ya kwamba wanaonewa,lakini wananchi wenye akili zao wasiojuwa kupiga deki lami,na ambao hawaamini ukizungusha mikono unapata mabadiliko, katika chaguzi za marudio wakawanyoosha na kupeleka kura zao kwa CCM.

Malalamiko yao yamebaki Rais huyu ni dikteta,wakasahau kuna siku John Mnyika aliwahi kudai uongozi wa awamu ya Nne ni Dhaifu,hapo wananchi wengi wakaanza kuchambua karanga na mawe wakaamua hata wapiga deki lami kuungana na chuma,jiwe,kiongozi Dr Magufuli.

Udhoofu ukashamiri zaidi wakaanza siasa na mahakama &mahabusu nani wa kuona huruma????wananchi??hawa walio na macho,masikio na ubongo!!!!

Uzuri ni kwamba Lowassa Edward Ngoyai wala hutamsikia akiongelea siasa za kipumbavu, mzee wa watu alishaamini hataenda ikulu kama Rais wa Jamhuri kwanini asikae kimya ili aende Mbinguni!!!

Chadema jaribuni kupunguza drama rejesheni chama chenu kwenye misingi ya kulisaidia Taifa.

Hoja hujibiwa kwa hoja nashukuru kwa ambao watajibu kiungwana.

Masinki,Nyansarari kwa sasa Dodoma
 
Chadema haijaterereka na haitatetereka hata siku moja mziki ni uleule subiri 2020.
 
Tathimini na ushauri kutoka kwa Lucifer kwanda kwa Saint Michael on how well to live in heaven!
 
Back
Top Bottom