Jinsi vijana wa kitanzania wenye Tamaa na hela ndogo wanavyofelisha kampuni walizoajiliwa.

Calulator

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
243
171
Habarini wakuu,,

Napenda kuwataadhalisha wakuu au maboss wa kampuni hizi kubwa msiwaamini sana vijana wenu hasa kwenye suala la hela hizi ndogo ndogo..

Mm nafanya kazi kwenye kampuni flan ivi ambapo ni dealer wa kampuni kuu iliopo Dar es salaam..miezi iliyopita TMSM walitangaza Tender kama 3 ivi ambazo kwa ujumla zote zinarange kwenye Bns 8 ivi ambazo kimsingi kampuni yetu ndio wawakilishi wa kuu kwa dodoma na taarifa tuliwapa kwa ajili ya manunuzi ya hizo tender kwa maandalizi..

Kwa mawasiliano na boss wao ni kwamba Pesa za ununuzi wa hizo tender zimewasilishwa kwa idara husika lakini mwanzio mchezo ulikua haieleweki adi deadline ilipofika tender haijawa submitted on time ilibidi nitoe cash yangu 150,000 ikanunuliwe asbhi katuma tender na ile ela that means nicngetoa cash yangu ile tender ingekua ndio bas tena..ya pili na ya tatu machezo huo huo adi deadline imefika hatuoni cash yoyote nikasema saiv sitoi changu adi mwisho wa mchezo sbr nimbane nione..kumbana jamaa akasema nunua kwa ela yako ntakulipa nlipata matatizo nikaitumia 300,000/= doh ikawa too late..tender mbili ni zaidi ya Bns 6 ivi kaikosesha kampuni yake sababu ya tamaa za kijinga..

Sikuona shida nikajichek mfukoni nikatoa 150,000 that means moja ikawa losted.. More than 3 Bns..ambazo sisi ndio competitor wakubwa na ndo huwa masupplier wakuu

Iyo ela laki moja na nusu na hii laki moja na nusu adi saiv nazisoma namba..hajanirudhishia mwezi na nusu sasa..

Ivi vijana wa kitanzania mna tamaa gani na vijihela vidogo vidogo..

Napenda kuwahasa maboss wa idara zenu jitahidini inshu za hela ndogo ndgo kama hizi muwe mnafanya wenyewe maana mwisho wa siku ata bonus hampati ni sababu ya tamaa ndogo ndogo ya wasaidizi na hata maafisa wa chini yenu..

Nawasilisha..
 
Mmmh umepigwa pole mkuu,watu sio waaminifu kwa madogo je makubwa?
 
Tatizo liko kwa mabosi na hiyo kampuni yenu
why pesa ipewe mkononi?
hakuna mfumo wa malipo mwingine?
kwanini msitumie bank?
 
Tatizo liko kwa mabosi na hiyo kampuni yenu
why pesa ipewe mkononi?
hakuna mfumo wa malipo mwingine?
kwanini msitumie bank?

Cdhani mkuu,maana kama amepewa atume io cash kwa mpesa ameshindwa na kule amesema katuma,ata kama lingekua suala la kutumia bank pia angekula ivyo ivyo..ni uroho tu wa vijana wetu.
 
Sikuona shida nikajichek mfukoni nikatoa 150,000 that means moja ikawa losted..

Iyo ela laki moja na nusu na hii laki moja na nusu adi saiv...

Napenda kuwahasa maboss wa idara zenu jitahidini inshu...

1: Lost
2: Hiyo
3: Hela
4: Hadi
5: Sasa hivi
6: Ishu

Vile wewe unashindwa kuandika vizuri ndivyo hivyo hivyo kuna watu wao na uaminifu hawawezani kwahiyo badala ya kujumuisha kila kijana wa kiTanzania tambua miongoni mwao kuna watakaokua wanajua na wanatekeleza wajibu wao ipasavyo.
 
1: Lost
2: Hiyo
3: Hela
4: Hadi
5: Sasa hivi
6: Ishu

Vile wewe unashindwa kuandika vizuri ndivyo hivyo hivyo kuna watu wao na uaminifu hawawezani kwahiyo badala ya kujumuisha kila kijana wa kiTanzania tambua miongoni mwao kuna watakaokua wanajua na wanatekeleza wajibu simu yenye auto correct cdhani kama utanyoosha maelezo..

Sijamuelewa juu..uan dish kwangu sio inshu..the real issue ni ujumbe ufike kwa vijana..hata kama ningendika vzuri na ucngeelewa mantiki ya somo ingekua kazi bure..
 
Umeona sasa unaniquote lakini ulipoanzia kuandika hapaonekani mwisho nashindwa kukuelewa.
 
Umeona sasa unaniquote lakini ulipoanzia kuandika hapaonekani mwisho nashindwa kukuelewa.

We jamaa ni kilaza kweli..ujinga unakusumbua..na even you ain't know lugha ya kiswahili kwangu ni lugha ya ziada sanaa..utabaki na ujinga wako wa kukosoa lugha za maandishi..ndio nyie nlisomea ualimu mnalia mpo nyumbani mnasubiria ajira so sio kosa lako..
 
Wewe huna akili hata kidogo, kuanza kuassume mimi nimesomea ualimu au nasubiria ajira na kuzililia ni upuuzi mwingine.
Ujinga wako nazidi kuuona unapoamua kuingiza neno la kiingereza ili uonekane unajenga hoja, hiyo inaonesha jinsi gani haujiamini kutojiamini kwako kunatokana na vitu vifuatavyo;

1: Malezi yako ya utotoni yalikua ya shida hivyo unacompensate kwa kujitutumua kila unapopata nafasi.

2: Ulikosa malezi ya baba na mama.

3: Ulivyokua mtoto ulikua sexually abused hivyo bado haujiamini kila unapoona mwandiko wa kiume.

4: Una ub00 mdogo.
 
Hahaha kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza..
 
Hahaha kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza..
Chief, ile post yangu ya mwisho kwako haikua ya kiungwana samahani sana, siyo kawaida yangu kushambuliana na watu mitandaoni. Najua unajua ulichoandika ni utumbo ila ni kama njia ya kunirudi naelewa hilo.
Samahani sana mkuu
4: Una ub00 mdogo.

Me nna **** mdogoo au wewe ndio ulikua na mkund* mkubwa..sema ukweli bwana..[/QUOTE]
 
Chief, ile post yangu ya mwisho kwako haikua ya kiungwana samahani sana, siyo kawaida yangu kushambuliana na watu mitandaoni. Najua unajua ulichoandika ni utumbo ila ni kama njia ya kunirudi naelewa hilo.
Samahani sana mkuu

Me nna **** mdogoo au wewe ndio ulikua na mkund* mkubwa..sema ukweli bwana..
[/QUOTE]

It's okay no hard feelings..ila usione mtu kakosea ukaanza kushambulia kosa..uliza i phone users auto typing yake kama una speed katika typing na usiporudia kusoma txt lazma iwe ina makosa ya kutosha tu..
 
Back
Top Bottom