Jinsi unavyojiweka karibu na MUNGU ndivyo jinsi majaribu kutoka kwa mabinti yanaongezeka

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,531
44,642
Huu utafiti nimeufanya nimeamini Ni kweli kabisa yaani week yote hii niliamua kuokoa nikawa naomba Sana MUNGU Ila jamani naelekea kushindwa leo nimetamani mabinti wawili na nikajikuta naongea nao Mambo ya mahusiano na mapenzi kitu ambacho yesu mwalimu asiye na kifani ametusihi tusijaribu kabisa Mambo ya mapenzi sio kabisa Ni hatari sana.

kwa kweli kwa Sasa inabidi nimsikie na MUNGU Alivosema ametuumba tukaijaze Dunia na kuitisha.kwani Kuna ubaya Kama nikipata watoto Wengi Wengi Kama Nina uwezo wa kuwasomesha na kuwatunza si nitakuwa nimesaidia mchango wangu katika ujazaji dunia nitakuwa sijafanya uharibifu..napenda Sana wanawake Ni wazuri kwa kweli yaani kila kunapokucha nazidi kuona watoto wazuri Hapa mjini.maisha matamu Ila ndo mafupi kishenzi.
 
Mzee ulipost getto lako hapa jf huwezo huo uwezo wa kuwa na watoto wengi huna usituongezee ombaomba.
 
napenda Sana wanawake Ni wazuri kwa kweli yaani kila kunapokucha nazidi kuona watoto wazuri Hapa mjini.maisha matamu Ila ndo mafupi kishenzi.

Maisha hayajawahi kuwa mafupi...maisha yapo ila umri ndio mfupi
 
Huu utafiti nimeufanya nimeamini Ni kweli kabisa yaani week yote hii niliamua kuokoa nikawa naomba Sana MUNGU Ila jamani naelekea kushindwa leo nimetamani mabinti wawili na nikajikuta naongea nao Mambo ya mahusiano na mapenzi kitu ambacho yesu mwalimu asiye na kifani ametusihi tusijaribu kabisa Mambo ya mapenzi sio kabisa Ni hatari sana.

kwa kweli kwa Sasa inabidi nimsikie na MUNGU Alivosema ametuumba tukaijaze Dunia na kuitisha.kwani Kuna ubaya Kama nikipata watoto Wengi Wengi Kama Nina uwezo wa kuwasomesha na kuwatunza si nitakuwa nimesaidia mchango wangu katika ujazaji dunia nitakuwa sijafanya uharibifu..napenda Sana wanawake Ni wazuri kwa kweli yaani kila kunapokucha nazidi kuona watoto wazuri Hapa mjini.maisha matamu Ila ndo mafupi kishenzi.
Imani bila matendo imekufa...
 
napenda Sana wanawake Ni wazuri kwa kweli yaani kila kunapokucha nazidi kuona watoto wazuri Hapa mjini.maisha matamu Ila ndo mafupi kishenzi.

Maisha hayajawahi kuwa mafupi...maisha yapo ila umri ndio mfupi
Kasema anaenda kuoa kijijini kwao....so anaamini... Huko kijijini Baba Mama na watoto hulala Chumba kimoja Ni kawaida....
 
Back
Top Bottom