Jinsi ufuska unayotupatia raha ila kuleta mateso kwa familia zetu

Nimeambiwa bibi wa kichaga aka mkeo mdogo ameloweka nguo zako hadi dakika hii bado uko migombani unaria mbege.....
Nimefanikiwa kutoroka na nguo za babu. Nipe lokeshen acha maneno mingimingi
 
Asprin unanidhalilisha aisee.....ukuu wa wilaya??? Pyuu... hicho cheo nilikuwa nacho miaka hiyoo tukipambana hapa. Imagine by now nitakuwa wapi!!
Aisee we jamaa kama utakuwa hujatumbuliwa basi utakuwa ushakuwa balozi unayesubiria kupangiwa kituo cha kazi
 
Nimefanikiwa kutoroka na nguo za babu. Nipe lokeshen acha maneno mingimingi

Bbabuuuu, lokesheni inabidi niitoe kwa code ili isije vamiwa na Asprin bandia na Kasie bandia.

Yule nlokwambia atakwambia basi wacha nimwambie uko tayri kwa ajili ya maikutano......

See you soon.
 
Bbabuuuu, lokesheni inabidi niitoe kwa code ili isije vamiwa na Asprin bandia na Kasie bandia.

Yule nlokwambia atakwambia basi wacha nimwambie uko tayri kwa ajili ya maikutano......

See you soon.
Noted with thanks
 
Back
Top Bottom